kama kuandika na kusoma kingereza haikupishida
nikushauri tu sasa anza mazoez ya kuongea lugha hiyo ya kingereza bila woga ama hofu
ukifanya hvo itakusaidia na ni rahisi tu ikiwa hutaona aibu na ukajiamini
mzee wetu tupe yako
sisi vijana wenye fahamu na akili alizotujaalia mwenyezi Mungu tunaamini bado tuna mengi ya kujifunza kwako hasa ikizingatiwa kuwa wewe ulikuwepo wakati ule mkiisaka hii nchi kutoka mikononi mwa kaburu
kifupi mimi nakuheshmu sn na najua vjana wengne wenye ufaham unaoishi...
yaan kwa mwendo huu na watu wenye kubebabeba mambo juu juu tz tutasubiri sn kufika maana tumekuwa washabiki wa mambo hata ya msingi tumefanya ushabiki huku fahamu zetu zikilala fofofo
binafsi sion kama Twaweza wana nafasi yoyote ya kunipatia kiongoz
kwa kuwa mwenye uwezo wa kujua kama lowasa...
kaka hongera sna and nakupongeza sana huo ndo utanzania wa kweli yaan big up sana hii ni bonge la fursa hasa kwa kipind hiki cha vijana weng kutokuwa na ajira in short kaka wewe fanya yako cos co wote watakuelewa ndo maana u naona kuna wengine wanakujib upuuz....asante sn sn umetupa fursa kaz kwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.