Recent content by Shinda

  1. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    ID nyingine unamaanisha nini? Hakuna nyodo mkuu ni ujibuwa wangu, napenda kutoa jibu la wazi na kwa mifano.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Tuwe wa kweli jamani, ndio maana watu wanasema mnawachafua. cashcard ndio nini?
  3. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Unajua unachozungumza lakini?
  4. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Mkuu jibu bi simple, sio lazima uwe na degree kujibu. Mfano ukitoka mzigo sehemu A kwenda sehemu B kisha mtu wa B akasema nimerudisha mzigo. Wewe unadhani amerudisha wapi?
  5. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Je unahakika Benki za ndani hawatoi hiyo huduma. Unaweza toa mfano wa benki uliyoenda ukaambiwa hakuna hiyo huduma? Tatizo wabongo tunataka kufanyabiashara ofisi kwenye begi ambayo haitambuliki kisheria.
  6. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Kweli kabisa jana tu nimepokea refund toka kwao maada ya kupokea barua pepe toka paypal.
  7. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Unadhani msaada anaupata huku zaidi ya kutokwa na maneno na kulala tuh! Nenda kwenye page yao ya facebook, twitter lakini pia unaweza kuongeano kwenye website yao (www.crdbbank.com) utapata msaada.
  8. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Tatizo watu wanajifanya wanajua sana. Overdraft ni huduma ambayo mtu anaomba haimaanishi kama wewe una akaunti ya hundi unakuwa na uwezo wa overdraft. Saving account inaweza kuwa na deni kwasababu fulani, na kujua nisababu gani? mimi kama mteja natakiwa kuonge na benki husika kujua nini shida?
  9. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    JE UNAJUA MAANA WIZI?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Umeona eeehe, wamekazania kuisema CRDB Bank tuh. Kama sio benki ya watanzania, tena Kama kuna tenda nyingine wapewe.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Ukipita kwa umakini maneno yako utabaini kuwa hakuna hoja ya msingi. Kuhusu kusambaa naamini CRDB wamesambaa sana. Na ni ipi hasa maana ya tenda? ule sio uteuzi. Out of banks wao wameshinda tenda. Isiwe nongwa. Au ndo ukoloni wa kuona benki yenye wazungu ndo ipewe tenda??
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    CRDB ni benki yetu watanzania lakini pia inachangia sana kwenye ujenzi wa uchumi wa nchi yetu na ndio inaongoza kutoa mikopo kwa miradi ya serikali na kwa watanzania. Kwa nini yenyewe isipate tenda hiyo? Au kwa kuwa ni benki ya watanzania na sisi siku zote tunataka wapate wazungu wa NMB. Kweli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    Acha kupotosha watu kwa kutoa taarifa za uzushi. Gazeti la Mtanzania tunzeni heshima yenu kwa watanzania ili mzidi kupendwa na kuaminika. Toeni taarifa za kweli sio kuuza gazeti tu, tafuteni habari kwa kina zenye ukweli ndani yake. Tunzeni "brand" yenu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Masaa manne ya kusota bank, NMB Kenyata road ongezeni ubunifu

    Unapoenda benki unatarajia kutopoteza muda, Kama ukienda na kupoteza Muda sio sahihi. ATM Zenu zinasumbua sana ndani ni msongamano wa watu, mtandao unasumbua. NMB mobile sio kabisa mbovuuuu unatuma pesa leo zinafika baada ya siku tatu wakati shida imeisha na nimetafuta alternative ya kufanya.
  15. S

    JamiiForums Tanzania NMB customer service sijawaelewa kwa hili

    Bado hakuna kitu Juzi nimepiga sana hawapokei Simu. Nikaenda kwenye tawi lao la morogoro road nilikaa zaidi ya masaa matatu bila kupata huduma.
Back
Top Bottom