Recent content by shimmy24

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Naomba kuelekezwa namna ya kufuga nguruwe kisasa na kibiashara
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo; Nawaza kuachana na comb hii ya HGL niende garage

    Kama una pesa nenda private lkn usilazimishe kusoma sayans wkt inakuletea shida umepata f ya hesabu na advance ujue utapata f ya bam hata ukienda PCB,na uwezekanl Wa kufeli physics n mkubwa coz hesabu na physics n vitu ambavyo vinaendana, kwaiyo jiangalie uwezo wako n nn na ufanye maamuz magumu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

    Iko vzur sana iyo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitaaluma, kumaliza physical geography muda mfupi

    Soma taratibu kijana,physical geog sio ya kupaparukia kisa unataka kumaliza haraka, Kwa staili hiyo huwezi kuimaliza. Nenda nayo trtbu na kwa utulivu ndo utaielewa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nna mtaji Wa laki tano sasa naomba ushauri nifanye biashara gani itakayonilipa, nitashukuru Kwa mchango wako
  6. S

    JamiiForums Tanzania Special need educator

    Natafuta sehemu ya kujitolea katika taasisi yeyote nimesoma degree ya special need education, nafundisha na geography pia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipate kazi hii ya kufundisha?

    Kuna Shule wanatafuta mwalimu aliyesoma Geography na Literature sasa mimi nimesoma geography tu na ninahitaji hiyo nafasi nifanye vipi ili niweze kumconvice nipate ajira
Back
Top Bottom