Nifanyeje nipate kazi hii ya kufundisha?

shimmy24

Member
Jan 14, 2017
7
2
Kuna Shule wanatafuta mwalimu aliyesoma Geography na Literature sasa mimi nimesoma geography tu na ninahitaji hiyo nafasi nifanye vipi ili niweze kumconvice nipate ajira
 
Hiyo nafasi haikuhusu
Kuna Shule wanatafuta mwalimu aliyesoma geography na literature sasa mimi nimesoma geography tu na ninahitaji hiyo nafasi nifanye vipi ili niweze kumconvice nipate ajira
Hiyo nafasi haikuhusu,wapatie nafasi wenye vigezo acha ubinafsi
 
Back
Top Bottom