Kama unataka mafundi bila kujali gereji zao zinafananaje nenda mabatini kuna mafundi wengi wachaga japo si wote ni wazuri sana..ila kama unataka gereji zenye muonekano mzuri na unaletewa na invoice kabisa nenda Fortes wako jirani na uhamiaji au Toyota wenyewe wako igogo
Mkuu kwenye issue ya ukoma walipukutika kishenzi vidole walikuwa wanaamini ni kurogwa na walitumia miti shamba hazikuwasaidia...walikuja kuokolewa wengi na mabeberu wa kimisionary walikuwa wanawaokota wametengwa na ndugu zao na kuwatengenezea makambi kuwapa dawa za kukausha vidonda sababu...
Sasa mbona ikitokea anayetaka kujiua akanusurika serikali huwa inaingilia na kumfungulia mashitaka..si wangekuwa wanawaacha kwasababu alitaka kujia kwasababu zake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Utaenda kumvua mtoto wa mtu hirizi chamoto utakiona vinginevyo uwe fiti na wewe kwenye ulozi au mcha Mungu kweli, lakini ukiwa mweupe unaweza kujuta maisha yako na familia yako ukaiponza...Wengine haya ni madhabahu yao wamehifadhi vitu vizito sana.
Sasa si ugawe 1150÷10.9= 109.5 so andaa kama lita 120
Hi,
Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.