Meya Raibu: Hakuna Corona Moshi, Haya ni Mashambulizi dhidi ya Uchumi wetu

Ndiyo unatetea ujinga kwa sababu unachofanya ni kukosa tu ujasiri wa kutetea wazi wazi lakini unafanya hivyo kwa kuhoji maswali ambayo kwa mwerevu ni rahisi kugundua maswali yako yanalenga nini hasa! Na kwa maswali unayouliza mtu wala hapati shida kugundua kwamba wewe ni mtetezi wa mfumo au mtu/watu walio kwenye mfumo!...
Labda nikwambie kuwa mie nauliza maswali kwa pande zote kwa wanaosema hakuna corona na wanaosema ipo,sasa sijui hilo hujaliona? Labda useme kuwa hautaki watu kuhoji,ukiangalia kila mtu anasema lake kuhusu corona halafu wewe hutaki watu kuhoji kwamba tukubali kila mnachosema.
 
Hapa ninapoishi nimezungumza na mtu anaetokea Mombasa (hali ya hewa kila kitu sawa na bongo). Ananambia watu na jamaa zake wengi tuu wamekufa na COVID-19. Nashangazwa sana kuona Tanzania kusikia tatizo halipo, mficha uchi hazai .... wakunga waliona mbali kweli ;)
 
Hapa ninapoishi nimezungumza na mtu anaetokea Mombasa (hali ya hewa kila kitu sawa na bongo). Ananambia watu na jamaa zake wengi tuu wamekufa na COVID-19. Nashangazwa sana kuona TZ kusikia tatizo halipo, mficha uchi hazai .... wakunga waliona mbali kweli ;)
Wapo wakenya nao wanashangaa iweje corona ionekane inasumbua na ni hatari kwao Kenya kiasi cha watu kushindwa kufanya shughuli zao kama wasanii hakuna tena shows ila Tz maisha yanaendelea kama kawaida na wala hospitali hazijajaa wagonjwa wa corona.
 
Tahadhari ni muhimu kwa kila jambo na hili la corona inabidi tuwe waangalifu sana badala ya kulifukia chini ya carpet. Tusiweke mambo ya kitaalam kwenye siasa hii ni vita mara hili mara lile. Ukweli mmnaujua na suluhisho lake sio siasa.
 
Tahadhari ni muhimu kwa kila jambo na hili la corona inabidi tuwe waangalifu sana badala ya kulifukia chini ya carpet. Tusiweke mambo ya kitaalam kwenye siasa hii ni vita mara hili mara lile. Ukweli mmnaujua na suluhisho lake sio siasa.
Tatizo siasa zipo pande zote mbili,kuna watu walikuwa wanashangilia nyomi za kwenye kampeni bila kujali kuwa kuna corona ila sasa hivi baada ya uchaguzi kuisha ndio wanatahadharisha watu na corona.
 
Wapo wakenya nao wanashangaa iweje corona ionekane inasumbua na ni hatari kwao Kenya kiasi cha watu kushindwa kufanya shughuli zao kama wasanii hakuna tena shows ila Tz maisha yanaendelea kama kawaida na wala hospitali hazijajaa wagonjwa wa corona.
Ukweli ni kuwa napenda sana kuona TZ iko clean na hakuna janga la COVID-19, lakini facts zimekalia kama tunafichwa tusijue kama kuna tatizo. Ndio nikasema mficha uchi hazai, kwa maana dalili zinaashiria tatizo lipo lakini limefumbiwa jicho.

Viashiria ni hivi:
  1. Ukitazama mitaani au kwenye video naona watu wengine wamevaa masks
  2. Serekali imeweka vikwazo kwa mtu yoyote kutoa habari za COVID-19, isipokuwa viongozi wa juu wa serekali.
  3. Personally, nina jamaa na ndugu wabichi waliokufa kwa utata nikiachwa na suspicios kama inaweza kuwa COVID-19. Lakini maelezo ni presure au sababu zengine.
Maasalaam
 
Ukweli ni kuwa napenda sana kuona TZ iko clean na hakuna janga la COVID-19, lakini facts zimekalia kama tunafichwa tusijue kama kuna tatizo. Ndio nikasema mficha uchi hazai, kwa maana dalili zinaashiria tatizo lipo lakini limefumbiwa jicho...m
Hao baadhi ya watu wanaovaa mask ndio kipimo cha kwamba wanaelewa sana kinachoendelea na kujali afya zao kuliko Magufuli na wasaidizi wake?maana si Magufuli si makamu wa rais wala waziri mkuu na mawaziri wote hakuna anayevaa barakoa,ina maana hawajui kinachoendelea au kwamba hawajali tu afya zao? Siseme kuwa wao kutovaa barakoa ndio hakuna corona bali najibu hiyo hoja ya kwamba umeona watu wanavaa barakoa na kusema ni kiashiria cha kuwepo corona.

Tukiachana na hayo unadhani hata serikali ikitangaza kuwepo kwa corona ni nini kitabadilika? Kwa sababu toka mwanzo kipindi serikali inatangaza kuwepo corona watu hawakuwa serious na kujikinga na corona walikuwa na hofu tu kuliko hiyo corona yenyewe ilivyo. Mtu akijihisi anaumwa tu basi anafikiri corona na huko hospitali kwenyewe hadi wauguzi walikuwa wanaogopa wagonjwa.

Kwahiyo mkuu labda useme watangaze corona na kuweka lockdown hapo ndio nitaona wamefanya cha tofauti ila sio et watangaze kuwepo corona na kutoa takwimu ili watu wajikinge hapo tutakuwa tunaongepeana.
 
Hatuna CORONA Moshi haya ni mashambulizi Dhidi ya uchumi wetu
FB_IMG_1611167502820.jpg
 
Kwani Uingereza wamesemaje juu ya Watanzania kuingia huko? Unajua tunaweza kuacha kutangaza lakini taarifa za PCR kwa waotaka kusafiri zinawekwa wazi kimataifa!
 
Back
Top Bottom