Garage ya yenye wataalam wenye vifaa vya kisasa.

swamila

Senior Member
Apr 4, 2015
176
81
Naomba msaada kwa Jiji la Mwanza penye garage nzuri ya magari madogo. Gari yangu aina ya Toyota Brevis inaniwashia alama ya check engine ikiwa kwenye mwendo nikisimama na kuzima halafu nakuwasha tena inapotea kwa muda badae tena inarudi nikisimama nikazima gari halafu nikiwasha tena inapotea lkn baada ya muda inarudi tena kwahiyo nataka niwapeleke wataalam mwanza wanisaidie. Kwahiyo mwenye kujua garage nzuri anisaidie
 
Kwa kiswahili hiyo tuta iadvise nini ielewe.
 
Kama unataka mafundi bila kujali gereji zao zinafananaje nenda mabatini kuna mafundi wengi wachaga japo si wote ni wazuri sana..ila kama unataka gereji zenye muonekano mzuri na unaletewa na invoice kabisa nenda Fortes wako jirani na uhamiaji au Toyota wenyewe wako igogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom