Recent content by Shiller

  1. S

    Holocaust Yaja

    Kama lengo ni kupunguza idadi ya watu sa wao watapataje faida wakati wao wanatengeza bidhaa na service kwa ajili ya masoko na watu ndo masoko,Elon ana project nyingi zinazotegemea watu e.g magar,hyperloop project,space x nk. hizo zote zinahitaji watu ili wapate faida.chanjo haina madhara...
  2. S

    Zomea zomea ya Ole Sabaya mahakamani iangaliwe kwa jicho la tatu

    Unahitaji kuwa na ubongo ili kujua kama Sabaya alikuwa ni mhalifu wa aina gani,na haishangazi hata kama waliozomea ni wafuasi wa Chama fulan kwa kuwa hata wakati anawafanyia uhalifu aliangalia itikadi ya vyama pia. huyo ni binadamu ambae hafai kuwepo katika jamii!!
  3. S

    Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Kwanza unatakiwa kujua historia ya Israeli na waisrael halis ni wapi,hao waliookotezwa kutoka pembe za Dunia sio waisrael halis hao ni wazungu waliopelekwa tu pale ili wajulikane kwamba ni waisrael,wao halisi ni wale waliopo Ethiopia,pia Waisrael %kubwa hawaamini katika Mungu,% ndogo waislam na...
  4. S

    Urusi na China ni hatari kwa usalama wa Dunia

    Hakuna mwenye afadhali katika hao wote wapo kwa maslah yao,Marekani wameua watu wengi zaidi Duniani kuliko hao Urusi na China,Dunia leo hii imekuwa sio salama kwa sababu ya Marekani kuanzia Uarabuni,Asia mpaka Afrika.
  5. S

    Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

    Kama hujui ni bora ukae kimya tu si vizuri kuonyesha ignorance yako public,hujui hata tofauti ya ndege ya Rais na ndege za biashara!?
  6. S

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Usijitoe ufaham wakati unajua nini kilikuwa kinafanyika kipindi marehemu akiwa rais,Mbowe alikuwa anaumizwa kisiasa sa utamfananisha Mbowe na Mo hao wanaposition tofauti. nadhan hakukuwa na tofauti na kikundi cha Mafia cha Italy enzi hizo,ulikuwa unafanyika Ugaidi wa hali ya juu kuwajengea watu...
  7. S

    Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

    Sa kapost yeye au watu ndo wamepost? Mtampenda tu mama na chuki zenu binfsi,mlizoea kusifu kupitiliza ma hana taimu na kusifiwa!!😂😂
  8. S

    Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

    Hivi wanyonge ni watu wa aina gani na je ni sifa kuwa mnyonge? kwa mimi mnyonge ni mtu dhaifu, dhalili,hajiwez kabisa maskini elimu duni anakula kwa kubangaiza, na ukimpa chakula kidogo atakusifu bila kujali kwamba labda matatizo aliyonayo we ndo sababu na wala huna nia ya dhati ya kumtoa kwenye...
  9. S

    Rais Magufuli na kamari ya Machinga na Mamantilie kwa manufaa binafsi ya kisiasa

    Ndo maana kuna kuwa na mipango miji na inaonyesha wapi masoko,stand za mabus,viwanja vya ndege nk,kama stand inakuwa humohumo soko inakuwa haina maana zaid ya uchafu na kero, kama tunawajal wamachinga tungewajengea sehem yao hapo pemben ya stand kama tunaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo,dunia...
  10. S

    WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Me sidhani kama ni sahihi sana mpaka sasahivi kulaumu athari za ukoloni au ukoloni mamboleo,, kama tunatambua ukoloni na ukoloni mambo leo basi tunajielewa kwa nini tuendelee kulaumu na kushindwa kufanya mambo yetu ikiwepo kufanya tafiti na chanjo mbalimbali? Tusipokuwa na mifumo ya elimu...
  11. S

    WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Kwan sisi watu weusi tumezuiwa kutengeneza chanjo? au cc hatuna akili tu? kwan chanjo nyingine kama ndui na polio tumetengeneza sisi? kwanini chanjo za malaria tusitengeneze wenyewe kama tuna uwezo!? Tulichokosa sisi ni kutengeneza mfumo wetu wa elimu kwa manufaa yetu na ndo maana kila siku...
  12. S

    Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

    Wacha tukulane wenyewe kwa wenyewe!!
  13. S

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Hao China wenyewe wakisikia wazungu wanaweka vikwazo huwa wanakuwa wadogo,issue ya vikwazo siyo ya kipolepole tujitafakar tunakosea wapi kama Taifa,sasahv tunawekwa kundi moja na kina Somalia,Zimbabwe na Uganda why!!?
  14. S

    Kwa haya yanayoendelea, Wafadhili hawatatoa fedha na huo ndio utakuwa mwanzo wa Wabunge wasio na ridhaa ya chama kugeukwa

    Unadhani ni nani anae watutmia? nani mwenye uwezo wa kumtoa mahabusu na kumpa ubunge kwa mara moja!?
Back
Top Bottom