Recent content by Shilingam

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata wagonjwa wapya 23 wa CoronaVirus

    Sa we hauoni ma lockdown sijui nini mara mikopo ya gharama lakini mambo ni yaleyale Kama hapa kwa chuma
  2. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

    Na wao ndo wanakufa sana na wanastahili kuanzia kunywa wao ili nchi iwe salama kwani tunawategemea wao katika mustakabali wa nchi
  3. S

    JamiiForums Tanzania 'Kwa hiyo nifanye nini?' - Rais wa Brazil auliza baada ya zaidi ya watu 5,000 kufa kwa Covid19

    Hiyo kauli ingetoka kwa ngozi nyeusi basi mahakama ya kizungu ndio ingeamua cha kufanya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Musukuma na Spika Ndugai waiomba Serikali kuruhusu waganga wa jadi kuruhusiwa kutibu Corona, wadai imani za Kimagharibi ndio kikwazo

    Asili ya mtu mweusi ni mizimu hayo madawa ya hospitali yameletwa ili nchi zao ziendelee kwa kuuza madawa na kutengeneza visababishi vya magonjwa. Mkaa kwao mtumwa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un wa Korea Kaskazini yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kapone banaaaa, mi napendaga kanavyo mdindia m USA. Kapone tifu liendelee
  6. S

    JamiiForums Tanzania Virusi ya corona: Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa corona - yaonya WHO

    Hawa jamaa wanatuandama kinyama yani yao yanawashinda kazi kutuwazia mabaya sisi tu
Back
Top Bottom