Recent content by Shikoloo.

  1. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna kiwanda kikubwa sana cha mbolea, kwanini Tanzania bado tunaagiza mbolea toka nje?

    Nina swali wadau hapa Dodoma kuna kiwanda kikubwa sana cha mbolea kinaitwa Itracom ndo kiwanda kikubwa kwa Afrika Mashariki na kati na kinauza mbolea yake kwa sasa, Kenya, Burundi, Uganda na Malawi, Lkn kwanini sisi hapa hapa Tanzania bado tunaagiza mbolea toka nje?
  2. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Je nyuzi hutoka baada ya mda gani na hutoka zenyewe tu?

    Habari, nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lkn doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lkn hadi sasa nyuzi hazijatoka, Je nyuzi hutoka baada ya mda gani na hutoka zenyewe tu? Na naona uume umejikaza je nikipona uume utarudi fresh? Msaada.
  3. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefanyiwa tohara Daktari aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe lakini hadi sasa nyuzi hazijatoka

    Habari, Nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lakini doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lakini hadi sasa nyuzi hazijatoka. Je, nyuzi hutoka baada ya muda gani na hutoka zenyewe tu? Na naona uume umejikaza je nikipona uume utarudi fresh? Msaada.
  4. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

    Ukiwa umedinda japo bado una nyuzi
  5. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

    Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama ameivuta sana hadi uume umekuwa mfupi. Je, nikipona uume wangu utarudi urefu kama zamani?
  6. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

    Mambo mengi mzee
  7. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

    Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama ameivuta sana hadi uume umekuwa mfupi. Je, nikipona uume wangu utarudi urefu kama zamani?
  8. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Hapo wote ni ubatili tu Wakatolic hayo maji nao ni ushetani tu siraha kubwa ni Maombi wala siyo mazingaombwe ya maji ya padre
  9. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Africana Loxdonta Crukutacrukuta Pathera leo Hipopotumus Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

    Ni bar kwahyo nina leseni na kulipa ushuru Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

    Leo katika shughuri zangu nikaletewa barua na mkurugenzi wa Misungwi ikinitaka nilipe 50000 kwa ajili ya mwenge,nimejiuliza sana yaani nilipe Leseni ya biashara, Ushuru, Kodi ya jengo, Kodi ya kiwanja, Takataka Umeme Maji Halafu tena nilipie Mwenge kama ni wa kula. Sent using Jamii Forums...
  12. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania CMG bhana...yaani Msiba wa Ruge ulikuwa wa Kampuni ila Msiba wa Kibonde ni wa Familia yake..acheni Unafiki!

    Mm hata huwa siwaangalii ni wanafiki tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Bilioni tatu na zaidi zilihitajika alipotekwa MO

    Futa ww Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Shikoloo.

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tundu Lissu amelipwa jumla ya Tsh.250m ikijumuisha stahiki zake Tsh.207m na Tsh.43m ya michango wabunge

    Bado anaandaa uongo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom