Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

mheshimiwa JPM amejipambanua kuwa mtu mwenye uthubutu, asiyeogopa ku 'dili' na mambo magumu, tena ni mtu mwenye 'logic' ya hali ya juu, nadhani ni wakati umefika sasa mzee JPM uwatue watu wako huu mzigo wa ibada ya mwenge! usihofu kuhusu wahafidhina wa ndani ya chama kwa maana wamefunzwa kufuata fikra za mwenyekiti, ukiupumzisha mwenge hii leo kila mtu atakusifu kuanzia CCM hadi CDM, kwani hautaki sifa nzuri mheshimiwa wetu?

Ccm itakufa
 
Kwani usipo toa hiyo ela utashitakiwa wapi?wewe cha msingi hakikisha unafuata masharti ya biashara zako wakose pa kuanzia

In God we trust

Awaonyeshe kitambulisho cha machinga
 
Back
Top Bottom