Recent content by shija jr

  1. shija jr

    JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Hapa Zaka ana hoja aisee!
  2. shija jr

    JamiiForums Tanzania Yanga SC wauze wachezaji ili wasijili vijana wenye kiu mpya.

    Nakuunga mkono kwa hili
  3. shija jr

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    So kama haya yote yupo nayo makini then it's OK to cheat on you? Listen hakuna sababu yoyote ya kucheat kwa sababu anachokitafuta huko hata kwako anakipata na ndio maana mkaoana. Zaidi ya hapo ni uzinzi na uzinzi ni dhambi.
  4. shija jr

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Huwezi kubaki single forever lazima mwili utahitaji na utazini tena umesema umeokoka Soma Mathayo 5:32. Ushauri wangu Kwanza usaliti sio kitu kizuri kiMungu hata kibinadamu. Kaa na mwenzio na umueleze kuwa upuuzi anaofanya umeujua kemea hiyo tabia na bila shaka kama ni muungwana ataomba radhi...
  5. shija jr

    JamiiForums Tanzania Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

    Huwa sijawahi kupata jibu why iwe hivyo kwake tu. Anyway ipo siku ukweli utadhihilika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. shija jr

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Aloo wana utaratibu mbovu Sana hawa Nida binafsi nilijiandikisha September 2019 lakini cha kushangaza hadi leo Sina hata ile namba na zaidi nikiuliza sipewi majibu ya kilichosababisha nikose kupata namba kwa muda wote huo. Hapa nimejiandaa litakalokuwa na liwe line nitasajili nyingine tu. Sent...
  7. shija jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

    Ukiangalia interview ya Lisa pale SnS na ya Mabeste pale Dozen Selection utagundua tatizo lipo wapi. Ila Mabeste kapoteza mke mzuri Sana na anaweza asipate Tena mtu wa vile. Kitu kingine familia zinachangia Sana kwenye kuvunjika kwa ndoa nyingi Mf. Ndoa ya Mabeste na hata ndoa ya Stamina...
  8. shija jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

    Kumbe ulifikiria hivyo kama Mimi? Jana Ndio siku nilivunja msimamo wangu wa kusema sitooa single mom Sent using Jamii Forums mobile app
  9. shija jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

    Wanawake hawajifunzi hutakiwi kumlipia mahari mwanaume wako kwenu hata iweje yaan maana mahari ni kipimo cha uwezo wake kwenye kutimiza wajibu mkiwa ndani. Lakini yote kwa yote mahusiano yana Mambo mengi so ukweli wanaujua wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. shija jr

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Komaa tu mkuu yatapita Sent using Jamii Forums mobile app
  11. shija jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mtoto was Msocha huyo [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. shija jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwl Sembe mtaalam wa uchumi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. shija jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwa zile manzi za KO ilikuwa Ni noma mtu unapewa namba tu hata manzi hujawahi kuiona [emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. shija jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hatari Sana [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. shija jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    sumbai, Mgalatia sifa wepesi [emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom