Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

Wanawake mnapenda kutafuta sababu za kuchukia ndoa, si tulikubaliana simu za wapenzi wetu kuzishika MWIKO
 
Mm ndio maana sitaki ndoa mapema coz kwenye mahusiano tu nafumaniwa kila siku ...... iko hivi wanaume karibia wote tunapenda kutest ladha tofauti tofauti ndio maana unakuta mpaka mwanaume anaoa ashatembea na wanawake kama 100+
 
Kwani nikimuacha ni lazima niwe na mahusiano?
Huwezi kubaki single forever lazima mwili utahitaji na utazini tena umesema umeokoka Soma Mathayo 5:32.

Ushauri wangu
Kwanza usaliti sio kitu kizuri kiMungu hata kibinadamu. Kaa na mwenzio na umueleze kuwa upuuzi anaofanya umeujua kemea hiyo tabia na bila shaka kama ni muungwana ataomba radhi.

Nawe usamehe kwa dhati maisha yaendelee ndoa yenu bado changa.
 
Hivi watu tumefikia kusema hakuna ukimwi wala magonjwa ya zinaa? Mimi upande wangu ninachohofia mme kutembea nje ni mambo matatu/
1. Kuniambukiza magonjwa kama ya ukimwi au mengine kama hayo.
2. Kutonipa matumizi kama mimi ni mama wa nyumbani au natafuta kazi bado.
3. Kuonyesha hana mapenzi na mimi tena kama alivyozoea tukiwa sebureni au kitandani.
4. Kususia chakula kwa kisingizio kuwa amechoka au kashiba.
5. Kuanza kusomea simu chooni au sehemu ambayo anajua siwezi kumfuata na kwenda na simu hata bafuni.
6. Kunitoa kasoro za kimaumbile au mavazi ambayo alizoea kuniona navaa kabla.

Hayo yakitendeka nitaomba mwongozo kwake na mimi sitakuwa wa kwanza kuomba taraka nitataka yeye anitamkie.
So kama haya yote yupo nayo makini then it's OK to cheat on you?

Listen hakuna sababu yoyote ya kucheat kwa sababu anachokitafuta huko hata kwako anakipata na ndio maana mkaoana.

Zaidi ya hapo ni uzinzi na uzinzi ni dhambi.
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Hakuna mwanamke hapo
 
Sa ukimuacha utaenda kwa nan ambae ni bora zaid
 
woiiiii hatariii, hii nayo ni sifa yangu kuu. Usiombe vihisia viishe utaniona mchungu. Nna hasira mbaya Sana. Nashukuru Mungu kipindi hiki Niko mtulivu Sana.
Aisee wanawake wa namna yako nawapenda sana yaani ndani ya nyumba ni full vurugu magumi vibao alafu mnamaliza kwa kugegeduana
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Hawa watetea ushoga waliopiga marufuku POLYGAMY na kuhalalisha SAME SEX MARRIAGE wametuletea shida sana. Mwanaume RIJALI hajaumbiwa mwanamke mmoja. MANABII waliokuwa wakiongea na MUNGU ana kwa ana walikuwa na wake zaidi ya mmoja na Mungu hajawahi kupiga marufuku POLYGAMY. Polygamy iruhusiwe ktk Ukristo kuepuka madai ya wanaume wana cheat na watoto wa nje kukosa malezi ya baba. Hata Bwana YESU hakuwahi kutamka bayana Polygamy hairuhusiwi alichotamka hakiruhusiwi ni TALAKA/DIVORCE.
 
Hatufanani,, mi viugomvi vya hivyo na Kama nina hisia na wewe hata siwezi kukunyima,, nitanuna mdomo ila chini nakupa maana hasira hunipandishia genye sana hata nikiudhiana na wangu huwa sitoki maana nikitoka tu naweza kuliwa kirahisi sana na lijitu,, huyo ni mimi wengine wengi wakikasirika na chini kunanuna

Nimecheka sana
 
Mnashika simu za nini...mi nilishasema sitaki kujua ambayo siyajui...
Amani yangu ya moyo ni muhimu kuliko kiumbe yeyote....

Ukishapekua simu ya mwanaume yeyote lzm utatoka tu na waswas...ht km hafanyi utaanza hisi hisi watu..why anachat nae sana ooh mbona wanapigiana sana...ya nini...?

Acha kuvitafuta usivyotaka kusikia...
Pole..thts life....uache ndoa kisa kacheat

Hawa viumbe utahama hama kwa kila mtu...kwa style hiyo..ukiwakuta ambae hacheat wachache mnooo....
Angalia usije ondoka aukadokea kwa worse zaid ya mumeo
Una akili sana.
Lakini sio wote ujue
 
Mahusiano ya siku hizi ni multipartism na ukielewa hilo hutateseka moyoni .
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
UPDATE..
wakuu nimeleta mrejesho, niliamua kumuambia kumkalisha chini baba chanja nikamuonyesha picha za huyo mchepuko na sms cha kushangaza alikana kabisa hana mahusiano nae akasema alikuw anachat nae tu kama friends. Yaani alizidi kunipandisha hasira maana evidence ziko wazi kabisa, nikamwambia bas mpigie yeye akajibu mpigie wewe basi hasira ndo zikazidi maana niliona kama amenidharau, kilichofatia nikaanza kumsema kuanzia tulikotoka, yote aliyonifanyia nanyamaza ,mengi niliyomvumilia, niliongea mpaka nikasikia kifua changu kimeachia, mwisho nikamwambia mtoto mmoja hanishindi kumlea so kama unaona umechagua hayo maisha endelea ila najua nitakachofanya.. nikamaliza akajifanya ananiomba msamaha wa uongo na kweli basi ikaisha, lakini hakuadmit Wala hakutaka kuliongelea hilo swala la mchepuko tena alijifanya anakuwa mkali nikampotezeaa.
Sasa kilichonikera zaidi jana nilipigiwa simu na rafiki yake mchepuko anaanza kunambia habari zao kanambia kumbe baada ya timbwili lile walikutana tena sijui wakaongea nin, na siku nilimblock huyo mchepuko kwenye whatsp ya mume wangu kumbe bibie sijui alilalamika bwana akamwambia mi sijakublock labda kuna mtu kafanya hivo, huyo shogaake mchepuko alinambia mengi akanambia kumbe mume wangu alimwongopea mchepuko kwamba hajaoa ila amenichumbia tu na kila mtu anaishi mwake,bibie alivokuwa anamwambia ampeleke kwake anamwambia kuna mdogo wake anakaa nae. Huyo shogaake mchepuko akanambia tena kwamba baba chanja kamnunia hampigii et kisa alikuta meseji za wanaume wengine kwenye simu yake, yaani ndo wamezidi kunitibua maana nilikuwa nishatulia zangu. Sasa nawaza sijui nimwambie na hili au nimpotezee tu ila hasira kama zimerudi kwa upya..na kilichonikera zaidi ni kwamba baba chanja amechange password ya simu.. naombeni ushauri wakuu.. ila wanaume wachepukaji mpite tu kimyakimya maana comment zenu ndo nyingi
 
Sasa kilichonikera zaidi jana nilipigiwa simu na rafiki yake mchepuko anaanza kunambia habari zao kanambia kumbe baada ya timbwili lile walikutana tena sijui wakaongea nin, na siku nilimblock huyo mchepuko kwenye whatsp ya mume wangu kumbe bibie sijui alilalamika bwana akamwambia mi sijakublock labda kuna mtu kafanya hivo, huyo shogaake mchepuko alinambia mengi akanambia kumbe mume wangu alimwongopea mchepuko kwamba hajaoa ila amenichumbia tu na kila mtu anaishi mwake,bibie alivokuwa anamwambia ampeleke kwake anamwambia kuna mdogo wake anakaa nae. Huyo shogaake mchepuko akanambia tena kwamba baba chanja kamnunia hampigii et kisa alikuta meseji za wanaume wengine kwenye simu yake, yaani ndo wamezidi kunitibua maana nilikuwa nishatulia zangu. Sasa nawaza sijui nimwambie na hili au nimpotezee tu ila hasira kama zimerudi kwa upya.. naombeni ushauri wakuu.. ila wanaume wachepukaji mpite tu kimyakimya maana comment zenu ndo nyingi
Huu Uzi tangu nimeanza kusoma nausoma bila kucomment napita....

Ila kwenye Hili wacha niseme neno...

Huyo shoga yake mchepuko anapata wapi nguvu ya kukupigia simu kuanza kukwambia hayo anayokwambia? At least angekuwa mtu baki ila si rafiki yake mke mwenzio.

Una uhakika gani hayo aliyokwambia ni ya kweli? Vipi kama wanatumia njia hiyo kukujaza upepo ujae ndoa ikushinde uondoke rafiki yake aingie!!!???

I'm sorry, kukwambia ukiendelea hivi mwaka huu hauishi tutakukaribisha kwenye chama cha single mamaz.

Kuwa busy na mambo yako, mumeo akikosea kaa nae muongee, akibadilika msamehe ila kama hajali, na huwezi kuvumilia ondoka muachie maisha yake. Sio kila mwanamke anafurahia mwanamke mwenzie akiwa kwenye ndoa.
 
Asante kwa ushauri, sema kwa mujibu wa mchepuko aliniomba nisimwambie mtu yaani ibaki siri yake na mm na akawa ananiambia kwamba ameshamshauri huyo shogaake kwamba aachane na mume wa mtu hataki kusikia
 
UPDATE..
wakuu nimeleta mrejesho, niliamua kumuambia kumkalisha chini baba chanja nikamuonyesha picha za huyo mchepuko na sms cha kushangaza alikana kabisa hana mahusiano nae akasema alikuw anachat nae tu kama friends. Yaani alizidi kunipandisha hasira maana evidence ziko wazi kabisa, nikamwambia bas mpigie yeye akajibu mpigie wewe basi hasira ndo zikazidi maana niliona kama amenidharau, kilichofatia nikaanza kumsema kuanzia tulikotoka, yote aliyonifanyia nanyamaza ,mengi niliyomvumilia, niliongea mpaka nikasikia kifua changu kimeachia, mwisho nikamwambia mtoto mmoja hanishindi kumlea so kama unaona umechagua hayo maisha endelea ila najua nitakachofanya.. nikamaliza akajifanya ananiomba msamaha wa uongo na kweli basi ikaisha, lakini hakuadmit Wala hakutaka kuliongelea hilo swala la mchepuko tena alijifanya anakuwa mkali nikampotezeaa.
Sasa kilichonikera zaidi jana nilipigiwa simu na rafiki yake mchepuko anaanza kunambia habari zao kanambia kumbe baada ya timbwili lile walikutana tena sijui wakaongea nin, na siku nilimblock huyo mchepuko kwenye whatsp ya mume wangu kumbe bibie sijui alilalamika bwana akamwambia mi sijakublock labda kuna mtu kafanya hivo, huyo shogaake mchepuko alinambia mengi akanambia kumbe mume wangu alimwongopea mchepuko kwamba hajaoa ila amenichumbia tu na kila mtu anaishi mwake,bibie alivokuwa anamwambia ampeleke kwake anamwambia kuna mdogo wake anakaa nae. Huyo shogaake mchepuko akanambia tena kwamba baba chanja kamnunia hampigii et kisa alikuta meseji za wanaume wengine kwenye simu yake, yaani ndo wamezidi kunitibua maana nilikuwa nishatulia zangu. Sasa nawaza sijui nimwambie na hili au nimpotezee tu ila hasira kama zimerudi kwa upya..na kilichonikera zaidi ni kwamba baba chanja amechange password ya simu.. naombeni ushauri wakuu.. ila wanaume wachepukaji mpite tu kimyakimya maana comment zenu ndo nyingi
....samahan bibiee nimejkuta nacheka tu japo si nzur ila kwa namna unavyoelezea ni kama nilikuwepo.....kingne mm pia nipo ndoan na nimeshachit severel timez, umetukataza wachepukaj kucoment lakin nadhan watacoment tu mana 98.9% wachepukaj. Sasa bas niseme tu, kwa majb aliyoonesha mumeo nimegundua mumeo anajua principles za kuchepka basically ikitokea ameshikwa.....rule moja wapo kwa mwanaume kama umeshkwa ukichit bila ushahid wa moja kwa moja (kukutwa mb** imeingia ndan kwa K ya mchepuko)......Hatakiwi kukubali kabisa kwamba kafanya hvyo.....

Inaonesha bado hujaridhka na tukio la kwanza la kupekua cm yake licha ya wananzengo humu kukushauri hlo.....naona unaanza kutaman kujua passwords zake......hayaaaa endelea mamaa...

Nachoweza ushaur naenda nae taratibu.....mengi yameshasemwa humu.
 
Back
Top Bottom