Anayejua dawa ya mtu aliyepata ganzi upande mzima wa kulia, tatizo limeamzia kwenye mbavu za kulia ni kama zimefungwa uzi hlf zinavutwaaa kwahiyo mgonjwa anakua anakosa pumzi na hasa akichelewa kula pia maumivu yanakuja hadi kwenye mkono unakua kaa ganzi unauma utadhan umewekewa mto hata...
Yaan naona kama muvi! Huyu msiba huyu huyu kabisa ambaye siku moja nilimuona acheza na kufurahia maisha? Huyu ambaye tulimjua kupitia chanel ten? Ndiye sasa anafilisiwa?anazo za kufilisika?
Sijui lakn nachoamin ni kuwa mwigulu huwa hawapatani maisha,na inawezekana bifu likazidi sahiv kwasabu ashatu anaitaka sana wizara ya fedha na ndo lilikua bifu lake na wazir mkuu
Nataman sana kujua kazi za interpool na kwamfano hapa tz wanakua na ofisi au?
Ili waifanyie kazi nchi kama hivi africa kusini ilivyotokea manake serikal ya africa kusini imeripoti huko au?
Nataman uongeze nyama zaidi! Kwahiyo huyu dem walikutana naye wap akiwa gerezan au ni demu wake wa miaka?
Ujasiri wa huyu dokta unatokana na nini kwamba huyo bista alisingiziwa siyo miuaji au ni mahaba tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.