Recent content by shereko

  1. shereko

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa asipewe nafasi tena ndani ya CHADEMA, aachwe aende zake

    Unauhakika gani kama slaa ndio aliowageuka chadema.? Toa ushahidi wa kauli yako
  2. shereko

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

    kila mwanasiasa anatumia maneno ya nyerere. mfano nyerere alisema anae ng'ang'ania kwenda ikulu huyo tumwogope kama ukoma. lowassa sipingani na yeye kuja chadema ila ninawasiwasi mmoja kwanini asingekuja akawa mwanachama wa kawaida au akagombea ubunge alafu mwaka unaofuata wa uchaguzi ndio...
  3. shereko

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    nafikiri nawewe ndio walewale. kama yeye ni mchungaji kwanini awe mwanasiasa? hii ndio sababu anaongea mambo yanayo leta utata. hata biblia inasema yakaisali mwachie kaisali. yeye achane na siasa ahubiri injiri. unataka niambia chadema hakuna mkosefu au mwenye dhambi? yy amesema ukiingia chadema...
  4. shereko

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    mchungaji na yeye kwanini asihubili tu siasa aachane nazo. nahisi hata waamini wake ni chadema
  5. shereko

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

    mm shabiki wa simba haimaanishi nishabikie inapokosea. kwann walishindwa kufikisha bizibitisho tff had tff wakatangaza messi ni mchezaji huru. hii inaonesha simba walianya ujanjaujanja acha aende
  6. shereko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Whatsapp plus

    jamani ninashida moja nimedownload whatspp plus ila niki install ina kubali ila ikifika wakat wa kujaza detail inaniandikia your phone time is inacurate reset and try again sasa ni fanyeje
Back
Top Bottom