Recent content by Shemtibuko

  1. Shemtibuko

    Natafuta kazi ya usiku

    Mkuu unajua nimetafuta kazi kwa miaka mingapi? Enewei, usiposema shida zako hakuna nabii atakuja kukusaidia kuzisema kwa wengine. Na suala la kupata kazi au kukosa ni suala la wakati tu wasikate tamaa.
  2. Shemtibuko

    Natafuta kazi ya usiku

    Nmesoma sheria vizuri sana na niko makini kwenye hilo.
  3. Shemtibuko

    Natafuta kazi ya usiku

    Salaam wakuu. Natafuta kazi ya usiku, ikianzia saa 3 usiku mpaka sa 1 asubuhi itakua vizuri. Nina uzoefu wa miaka 2 na nusu kwenye nyanja ya usafirishaji. Kampuni ikiwa based Kurasini au Bandarini itakua vizuri zaidi. Kwa nini nimechagua usiku? Kwa sababu kazi niliyo nayo kwa sasa naingia...
  4. Shemtibuko

    Kwa sura yake ilivyo mbaya, kamwe sitozaa naye.

    Ebu pitia avatar ya Rohombaya Huenda ukahisi kitu.
  5. Shemtibuko

    Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai waliomba taarifa za mteja bila kutaja ni kwa mujibu wa sheria gani

    Yote haya yanafanyika ili kulinda Uhuru wetu, mbarikiwe sana Jamii Forums lakini pia wabarikiwe mawakili wasomi waliojitoa kuitetea haki yetu hii inayominywa kila uchao.
  6. Shemtibuko

    Dr. Shika Mwonekano Mpya

    Naona katupia mpaka poda na mikao ya mh RC.
  7. Shemtibuko

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Sasa haya ndio maamuzi magumu mkuu, sio kuhama mtaa mchana. Nasubiri part two.. kusikia vilio na kupoteza fahamu.
  8. Shemtibuko

    Tamko la Rais kuhusu benki ya walimu kuyumba ni hatari kwa ustawi wa benki

    Tuna tatizo kwenye uchumi, badala ya serikal kutafuta mbinu kuinua Bank zinazoelekea kubaya, ndio kwanza inafurahia na kutangaza kuzifungia.
  9. Shemtibuko

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Mkuu watu wengi wanamsikia tu, hawajui huyu jamaa yuko smart kiasi gani. NHC imepoteza.
  10. Shemtibuko

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Angalieni huyo jamaa kaitoa wapi NHC na alikua anaipeleka wapi. Ushabiki kama huu uliua TBC ya Tiddo Mhando. Wekeni ushahidi sio eti eti nyingi.
  11. Shemtibuko

    Hizi hapa Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi?

    Siku ya kwanza tunakaribishwa advance.. Mwalimu wa taaluma akasema .."Sisi walimu tunatoa 25%, iliyobaki 75% mkajitafutie" wale waliotoka st schools walijaza folen kuomba uhamisho.
  12. Shemtibuko

    Kama 'returning officer' wa NEC ni mgombea kina Mbowe wana haki ya kususia uchaguzi

    Kiswahili kinakusumbua mkuu. Usipende kitonga tumia akili kung'amua maana.
  13. Shemtibuko

    Kama 'returning officer' wa NEC ni mgombea kina Mbowe wana haki ya kususia uchaguzi

    Na wasiposhiriki wanapata nini? Tena kwa chaguzi ambazo unaweza kupinga mahakamani? Odinga uchaguzi wa mwanzo aliposhiriki ndio ukaleta ushahidi wa marudio. Huo aliosusia ataleta ushahidi gani? Kususa bado ni wazo duni kisiasa.
  14. Shemtibuko

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro Katika Ubora Wake

    Kuna mmoja nahisi yuko under 18 hapo.
Back
Top Bottom