Recent content by Shemndolwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

    Msigwa kwa jinsi navyomfahamu huyu waziri M 10 kwake nindogo sana! Yupo vizuri sana miaka mingi hata Kabla ya politics tafuta lingine foundation inahaki ya kuomba popote, sasa foundation imeomba kusaidiwa haijataja amount wa elewa 10m wakatae? Na barua ya December wamekuja kupewa June kweli...
  2. S

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

    Sasa kumbe taasisi iliandika barua yamaombi,kunatatizo gani? Navyoelewa hakuna ubaya wowote hapo sasa waziri kahusika nani I hapo hizo siasa za maji taka,nilidhani kapewa tu pia kwa M10 cyo pesa nyingi Hadi kumuhusisha waziri haijalishi ninani wake.nilidhani kaiba wameomba Ngorongoro wamepewa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM mkoa wa Arusha, Marry Chitanda ndio chanzo cha aguko la CCM!

    Acheni unafiki Chatanda anahusikaje mmezoea kumlaumu huyu mama hodari tena inajulikana sababu zakumtupia huyu mama kila uozo nakubwa hapa nikwavile mnapoenda kunywa mchuzi Monduli hamkutani naye chatanda hakubaliani na ndio mzee kajisimamia mwenyewe nahanunuliki. Kama miliona kwanini nyie...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    mmmhii kali mwageni yote people
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

    hee gender hawaangalii kuna grace kiwelu apewe makam mwenyekiti katumika sana tuwe nahuruma!
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    napingana nawewe kabisa lema anafanya kubwa lipi zaidi yakula pesa za m4c? nahilo jasho lawatu linammaliza lema sichochote njaa tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    UVCCM wametulia sasa BAVICHA vijana oyeeee wamemwaga ugali sasa wengine wamemwaga mboga tunasubiri maji yakunywa nakunawa. 2015 for ZZK, AU DUME LAMBEGU (freeman aikaeli) peoplesssssssssssssss
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuunguruma Karatu kesho tarehe 21.12.2012 kutolea ufafanuzi maazimio ya mkutano mkuu

    nenda kaweka mambo sawa DUME LA MBEGU. CDM haitishiwi nyau.nakukubali DUME LAMBEGU letu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sumaye na Lowassa kueleka 2015

    2015 mbali sana kusema kwasasa ila tutaona mengi sana ugopa wanaokimbilia ikulu kunanini?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

    mmm hiyo kali mambo yamebumuluka oooo peoples
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya MBUNGE Taabani

    mmm hiyo ofisi au bwawa??? wazee waposho
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Peoplesssssss! Hafukuzwi mtu hapa
Back
Top Bottom