Sumaye na Lowassa kueleka 2015

Sumaye na Lowassa kueleka 2015

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
1,198
Reaction score
452
Ikiwa Mh. Frederick Tluway Sumaye (Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania) atagombea urais wa Tanzania 2015, Nini mtizamo wako juu yake na kiti cha urais?
 
Tukianza nani raisi leo ,mh ni ngumu,maana mpaka 2015 huwezi jua nani atapendwa zaidi na Mwenyeezi Mungu!😛ray2:
 
Jamani mbona hawa watu wanawaza mambo ya miaka mitatu ijayo wana mkataba na mungu kwamba lazima watakuwa hai
 
2015 mbali sana kusema kwasasa ila tutaona mengi sana ugopa wanaokimbilia ikulu kunanini?
 
anafaa sana but atuambie hela za EPA ziliibiwa na nani wakati yeye alikuwa waziri mkuu wakati huo?
 
sumaye hana tofauti na ushuzi uvumapo humsumbua kila mtu atakayepitisha pua yake, vipi rushwa iwe chungu leo kwa sumaye tena baada tu ya kupoteza mamlaka. kwa uraisi hawezi kwani tayari ameshindwa hata ujumbe.na ataupataje ikiwa waliomwangusha kwa rushwa bado wamemzunguka?yote kwa yote mwizi akiibiwa huona uchungu kama yeye hakuwahi kuiba vya watu. lakuvunda halina ubani.
 
alyesema hayo yeye ni kama nan?

Yeye si ndio smart kuzidi wote, mnatuambiaga na kuwa kila mtu ktk vikao au makutano yenu anayeongeanae anasema ana akili sn. Pia ndio mtu wa strategies mwenye uwezo wa mwisho na kwa upande wa kuagaa ndio balaaa.

Hayo yote mnayasema ninyi wapambe wake humu.
 
Back
Top Bottom