Recent content by shemaghotwe

  1. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge majimbo ya Kinondoni na Siha, Udiwani Kata 8: CCM yanyakua majimbo yote!

    Hivi kwanii jeshi letu la polisi linatumia nguvu kubwa mno kukabiliana na dhana,kwanini hamjifunzi kutoka mataifa mengine??aibu
  2. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Muda wa kuombeana umekwisha sasa ni matamko tu
  3. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Suala la Airtel na TTCL inajulikana tokea 1998, na Serikali iliweka mabilioni na kuua TTCL

    Hizi mambo zinaanza kufunguka taratibu...tutasikia mengi
  4. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeishiwa kabisa siku hizi

    Yaani ccm wanajitahidi kusawazisha bao la kisigino la NYALANDU ndo maana wanahaha kila siku kuwalaghai wabunge dhaifu wa upinzani.Wakiondoka wabunge dhaifu upinzani utabaki salama nadani ya mikono ya wazalendo
  5. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!

    WELL DONE PENEZA...hii ndio namna bora ya kumuunga mkono rais katika harakati za kupunguza matumizi ya hovyo.Kujiuzulu ubunge ni maamuzi ya mtu binafsi lakini tunaporudia uchaguzi ni kulibebesha Taifa gharama zisizo za lazima.Nawashauri wabunge wa upinzani wamuunge mkono rais hata wakiwa kwenye...
  6. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

    Nguo ya ndani inatunza organ sensitive kwa mwili wa mwanadamu hivyo usafi wa hali ya juu unatakiwa.Usafi wake ni pamoja na kubadili nguo ya ndani kila unapooga kwa maana kuwa unatakiwa uvae nguo iliyo kavu na safi.Wanaume wengi tumekuwa wagumu kulifanya hivi tukiamini ni tabia za kike kubadili...
  7. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Rushwa yampa Uenyekiti Kheri James UVCCM

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni
  8. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba aomba Msamaha, asamehewa na kurejeshwa CCM

    Wanavaa gamba jipya
  9. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

    AFU WAANGALIE NA KIWANGO CHA KODI WENYE MAHEKALU YAO WANATUPIGA SANA KWENYE BEI
  10. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Wanasingida; Nyalandu amekula ameshiba, aende zake

    Sema ameikuta ccm hivina ameiacha kama alivyoikuta
  11. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Vipi Mh.Anna Mghwilla bado hajasajiliwa???kwetu hatuoni jipya
  12. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Nape: Sijaiona sababu ya Serikali kuchukua fedha zake kuwekeza kwenye miradi mikubwa

    Hana namna ya kujisafisha kwa Watanzania kwani dhambi ya Bunge live bado inamtafuna
  13. shemaghotwe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangala, mmiliki wa chuo 'tata' cha Tabora Institute Health Sciences

    Tanzania ya matukio...yaani hapa ni bandika bandua..tushasahaulishwa ya Tundu Lissu tayari
Back
Top Bottom