Umekuwa baba mwema sana, kwa malezi yote, kuanzia nyumbani, kielimu hata kijamii pia, wewe ni zaidi ya vyote ktk maisha yangu, umesisitiza sana kuhusu elimu, ushirikiano, upendo, U a the great!! Saloote mshua!!
Barikiwa sana mkuu kwa kutambua mchango wetu kwenye familia na jamii kwa ujumla, wewe ni zaidi ya mwanamke, stay safe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.