Leo nimekutana na jambo jipya aiseee , kuna Imani sijui ni dini ya wanajadi, wanadai kuwa wao sio Waislam wala Sio wakristo Wala wapagani, nimeshuka na hapa Tanzania wapo wengi tu , sehemu zao za ibada wanaita LUBUNGA, na wanaitikia kwa kusema Hello Bantu!!?
Natamani kujifunza zaidi na kama...