Reginald Mengi kuitambulisha ‘Stem cell therapy’ Tanzania kupitia Kampuni ya Phytoscience Tanzania

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
188
Reginald Mengi kwa kuitambu fursa ya stem cell kupitia kampuni ya Phytoscience Tanzania. Bidhaa za stem cell ni kama Actual plus+, Double stem cell, Crystal cell, Snowphyforte, 2slim, Triple 3 stem cell ambazo zinatumika kwenye mgonjwa kama Kisukari, Presha, Stroke, Pumu, Tezi dume, Ini, Figo, Moyo, Sickle cell na mengine zaidi ya 300+

Huku kuna afya na pesa na wizara ya afya inaitambua bidhaa zetu piga +255767831345 au +255655731345. Bado haujachelewa

IMG-20190212-WA0003.jpg
IMG_20190212_161257_968.jpg
IMG-20190212-WA0002.jpg
IMG-20190212-WA0001.jpg
IMG-20190212-WA0000.jpg
_20190123_040544.jpg
_20190123_040701.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mzee angeachana na uwekezaji na ale maisha maana uwekezaji wake kama ni uongo fulani

Simu
Magari
Leo tiba

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee naona hataki kuamini kuna kuzeeka na tayari ashazeeka,nguvu ya kukimbilia vitu kama vijana hawezi kama alivyokua anafanya zamani alipokua kijana!

Huku anamoingia hapajui hata kidogo,Silicon Valley kwenyewe watu wanapigwa kitakatifu,sasa huyu naona anaenda kwa ile stori za mezani na powerpoint na gut hunch yake...

Ndio maana kila siku press nyingi halafu kinachofuata ni kusuasua!Nachoona ni papara ya kutokupitwa na hizi new tech

Cha msingi angefanya anachokijua sana aache legacy yake kwenye hilo,viwanda alikua anavijua sana,naona ameua vyote,IPP Media is a joke now,madini naona hapaeleweki,currently naona kama uzee is catching up with him!

Ile maguvu alikuaga nayo zamani naona yamepungua,na yeye binafsi naona uzee ushaanza kumletea effect big time!
 
U nailed it all. Apumzike kwa Amani
 
Back
Top Bottom