Kwa ufupi yule MZEE ni mpuuzi, sikutegemea pumba zitemwe na mtu wa umri na heshima kama yake. Badala ya kusapoti kampeni za kiungwana, yeye ndio anaazisha lugha chafu. yeye na ccm watatudanganya hadi lini eti wanapanga mikakati ya kupambana na umaskini ujinga na maradhi? miaka 50 ya kutawala...
Una hasira za kipuuzi. Watu wanaongea kupuuzwa na serikali hii ni hata kabla ya kuanzishwa CWT. Tunataka kubadili chama tawala tuachane na kupuuzwa miaka nenda rudi, wewe unahamishia lawama CWT! Hawa wazembe tumewafundisha darasani leo hii wasanii wana maana zaidi ya walimu. Kura yangu najua...
Hali yako ya afya haitofautiani na ya mkulu. Povu jingi na vitisho, hii nchi ni yetu sote, kwa hiyo hata sisi tuna haki ya kuchagua tumpendae. Dogo naona ulikuwa na matumaini ya kuwa mtu fulani CCM ikichukua uongozi tena ila unaona Lowasa anakutibulia.
Kila mtu ana huo uwezo ila inabidi uendelezwe. hapo mwanadamu hua anatumia sub-concious minds, uwezo ambao wataalam wetu hawana maneno rahisi ya kuuelezea
Tumelaaniwa na nani sisi wa TZ? unaibiwa mali yako kama mwananchi, comment yako ndio hiyo. Mkisikia kibaka kaiba chupa ya chai kwa jirani mnatoka na mikuki na pinde.
Dawa ya ngoma ni kizungumkuti, kila anapojitokeza mtu/watu wamgundua au kukaribi kupata tiba, wanapotea. hutawasikia tena. Labda dawa ipatikane north Korea au Iran ndio ambao hawawezi kunyamazishwa na mabepari wa magharibi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.