Tutenganishe majungu, kuoneana kijicho na uhalisi. Ikiwa kuna uhalisi unaoweza kuleta mashaka, uchunguzi ufanyike, hatua zichukuliwe. Ktkt ofisi mbalimbali wapo informers, kazi yao ni kuleta taarifa za ndani ili kutufumbua macho. Ikiwa hazina ukweli uchunguzi uturidhishe.