Recent content by Sheikh23

  1. Sheikh23

    Hili draft mbona silielewi

    Acha kulalamika wakati hujaweka setting vzuri,hili game ni zuri sema tu changamoto yake dalmax anaruhusiwa yeye tu kucheza faulo Ili akufunge mambo yanapokua magumu kwake😀😀
  2. Sheikh23

    Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Acha kuchekacheka na wake za watu,kufikia mpaka kumkopesha pesa inaonyesha huna hofu ya hatari iliyopo mbele yako.."KENGE kusikia ni mpaka damu imtoke masikioni"
  3. Sheikh23

    Kujenga Apartments

    Njoo sinza ujenge hzo apartments,rum master iliyo kwenye fence 300k per month
  4. Sheikh23

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Bila picha za payslip za wadau kutoka ofisi hizo,uzi huu unabaki kua tetesi
  5. Sheikh23

    Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

    Mawinga ni kero kwenye manunuzi,itakulazimu kupata taarifa kamili ya bei ya bidhaa kabla hujainunua,bidhaa ya 20k unaanziwa 100k,nipunguzie zikiwa nyingi unaambiwa haya lete hiyo 60k,unaondoka na bidhaa kufika mtaani Wana wanakusanua kua umepigwa na hiyo bidhaa ni copy au bei halisi ni...
  6. Sheikh23

    PreGE2025 Angalizo kwa machawa na genge lote linalofanya utekaji, machaguzi ni mawili tu, kumjibu Gwajima ili awapasuepasue, au kimya bado awapasue

    Amerudi enzi zake,kila la kheri kwake,ccem sio Baba yake,vyema kupambana haki,hata kama hiyo haki uunufaimi nayo
  7. Sheikh23

    Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

    Changia,timiza wajibu wako kama mzazi na mpenda maendeleo,mazingira Safi ni chachu ya kujifunza
  8. Sheikh23

    Wauzaji balo za mtumba grade 1

    Mnauzaje balo za nguo za watoto Ke na Me? 5_12yrs
  9. Sheikh23

    Baadhi ya waajiriwa wapya kada ya ualimu kutopata mshahara na pesa za kujikimu kwa kipind cha miezi na kuripot kazini mpaka wapigiwe simu

    Kubwa umepata ajira shukuru Mungu,hayo ni maudhi madogo madogo,kila kitu kitakaa sawa mtumishi.
  10. Sheikh23

    Mikoa mibaya zaidi kufanya biashara ya Real estate au Nyumba

    Usijenge ujenzi wa gharama Geita,usijenge apartment wala mradi wowote wa nyumba,vinginevyo pawe ni kwenu kiasili,yaani chimbuko la wazee na mizimu ya kwenu.
  11. Sheikh23

    Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Nna uzoefu wa kuishi geita,ujenzi sio ghali sana,bajeti ya milioni 15 unajenga na kuhamia kwako nyumba ya vyumba vitatu na sebule (finishing maeneo muhimu) tofali za kuchoma,Mbao Pori na bati za uganda,waliowahi kuishi geita watanielewa,nyie wa Dar mtulie... Kwenye M40 inabaki 25,chukua M10...
  12. Sheikh23

    Mshahara wa Mwalimu (Madeni kama yote)

    Kuchagua Ua...mu ni kuchagua umasikini,kauli ya Mwalimu mstaafu miaka 15 iloyopita kwa kijana wa jirani yake..
  13. Sheikh23

    FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    USHABIKI weka pembeni,Line 2 na Refa ndio wachezaji Bora wa mchezo😆😆😆
Back
Top Bottom