Hizi kamari kusema ukweli ni 'too much' ukiachana na makampuni siku hizi kwenye kila kituo cha redio au tv kuna kamchezo kao kakubahatisha.
Yan kila baada ya dk mbili wanasisitiza watu hata mvuto wa kusikiliza redio unakosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.