Anaye chagua Uzi wa kijani hayupo xawa kifikra kwan mpaka sasa hesabu ya taifa haielewek na juz 1.5trlion zmemegwa bado wang'ang'ana nao wataka nni huko [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kama police wamekiri uchunguz wa nni cha msingi zilipwe garama za watu na kwan huyo mwanafunzi kama alikuwa anasomea nit lazma ungekuwa na maslahi kwako wazazi walipwe fidia isio pungua hata 30ml coz mtoto mwenyew hajatumia gharama hzo yan ni xawa wamempa tu gharama kdg
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.