Nna mwaka sasa na bet lakin sijawai shinda Zaid ya efu4 daa had nmekata tmaa embu niambie mwenzngu ulishawai piga MSHINDO kweny kubet na sh ngap mwaka gan
Al Merrekh ya Sudan baada ya kutinga hatua inayofata wameamua kutumia uwanja wa Rwanda kama nyumbani kwahivyo watakutana na Yanga tarehe 15/9/23.
Yanga kama atatulia anaweza fuzu kwa maana ana faida mbili.
Anaanzia ugenini.
Anaanza uwanja ambao sio wa Merrekh, kwahiyo Merrekh atakosa...
Hujui mpira wa miguu mzee sio kma wanaikamia Simba mpira mda mwengne kma draft una formula na formula zinaenda na mtu kwa mtu unaeza kua mzuri Sana ila formula ako usimsumbue mwenzako Simba uwa anaingia kweny copy ya Azam ndomna anamsumbua nasio kma anakamia io ni kawaida tu wew huoni gadiola...
Kocha wa simba kuna muda atakuja pokea lawama kutokana na kukosa uwezo wa kuusoma mchezo.ni sawa na mtu mweny nguo nying nzuri afu hajui ipi inampendeza.
Sio porn ni adult sites.kma hujui adult sites zinatembelewa mno na hao waserikalin kuliko hata mim nawew afu sasa sio kila anaeingia adult sites ni mzinzi adult sites ni chanzo cha kipato na adult sites sio porno tu wabongo washamb Sana mtu ukimwambia adult anajua porno tu .ila acha tu nisiongee...
Naomba kujua wanna tech na wachumi, hivi Kuna masilahi gani Serikali inapata raia wake tunapotumia vpn au tunaiga tu.
Mna all adult sites blocked afu imekua kero kuwasha vpn, kuna muda ina disconnect yan ni usumbufu kwa hili nilikua nataka nifahamu Kuna faida yoyote wanapata tunapotumia vpn...
Tamthilia nying kali ila nmejaribu kuchuja kwa maarifa yangu madogo kuhusu tamthilia angalia chuma kma Siri ya mtungi Kuna meng yakujifunza ndoa za mitala-mzee kizito,uzazi wa mpango-cheus,ngono zembe-duma na mengne hawa wengne tunaangalia bas tu yan ni kma movie za baadh ya mastaa movie...
"Mariano Mariano nilikua nampango mmoja ,nikaingia kwa benk nikashika risasi nikasema lala chin bas mm uyo basi mm uyo nikaubeba mzigo naendesha gari na zinanyesha kama mvu"
Kma nmekosea mtanirekebsha uo mwimbo mara mwsho nolimsikia msanii wa bss akiimba 2015 sijui jina ila naupenda Sana mweny...
Tunaenda dukan tunanunua vocha then tunajiunga bando Kisha bando twazitumia mitandaon fb google insta na kwengne ivi hakuna njia yoyote ya kunufaika kwa kupitia hizihizi bando zetu.angalia kma YouTube inavonyonya mtu anatumia gb 1 kuangalia movie afu malipo mpka matangazo Kwan hakuna transition...
Daaaah ufund unameng lakn swala la maden limekua donda sugu mtu anakuletea mashne bahat mbaya inazma mikonon mwako afu ukute shida ilikua processor ukute processor yenyew built-in apo inabdi ununue bod na mteja hakuelewi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.