I.T naomben jibu la wazo langu.

I.T naomben jibu la wazo langu.

sheby dunia

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
78
Reaction score
83
Tunaenda dukan tunanunua vocha then tunajiunga bando Kisha bando twazitumia mitandaon fb google insta na kwengne ivi hakuna njia yoyote ya kunufaika kwa kupitia hizihizi bando zetu.angalia kma YouTube inavonyonya mtu anatumia gb 1 kuangalia movie afu malipo mpka matangazo Kwan hakuna transition yoyote kutoka kwa megabits kwenda kwa pesa taslim.yan mtu mmiliki wa contents alipwe kupitia bando za watu walotumia kuview au kuread content yake.
 
Jibu ni kwamba ni hakuna na hili haliwezekani Kwa sababu ya Muundo mzima wa internet 🛜. Sababu kubwa ni kwamba Yule anayekuletea content hahusiki na content ,Mmiliki wa YouTube si mmiliki wa content za youtube mwenye content mfano mtu mwenye account YouTube na anaweka video zake hahusiki na kukufikishia content zake yaan yeye ana milikili content tu na anaweza kuamua kuziachia free au akaweka matangazo au akaweka subscription. Suala la kukufikishia content Kwa maana ya bundle ni la mtu mwingine kabisa na ana charge zake ambazo ndo data plan au bundle lenyewe. Kifupi internet haimilikiwi na mtu mmoja na kila mmiliki kwenye internet hii anamiliki kipande chake

Hardware anamiliki mwingine, Software anamiliki mwingine, Content anamiliki mwingine.

Hata wewe ni mmiliki wa internet Kwa sababu hapa nilipo nipo nasoma swali lako na lipo kwenye internet ? Je unataka ninaposoma content yako basi bundle yangu ikuingizie pesa ? Au bundle yangu imuingizie pesa Jamii forums au pesa iende Voda walionipatia njia ya kufikia swali lako ?

Kwa hiyo jibu la swali lako ni Hapana haiwezekani
 
Mbona creators wanalipwa tayari.. wazo lako sio jipya mkuu. Lishafanyiwa kazi na limeleta matokeo chanya
 
Tunaenda dukan tunanunua vocha then tunajiunga bando Kisha bando twazitumia mitandaon fb google insta na kwengne ivi hakuna njia yoyote ya kunufaika kwa kupitia hizihizi bando zetu.angalia kma YouTube inavonyonya mtu anatumia gb 1 kuangalia movie afu malipo mpka matangazo Kwan hakuna transition yoyote kutoka kwa megabits kwenda kwa pesa taslim.yan mtu mmiliki wa contents alipwe kupitia bando za watu walotumia kuview au kuread content yake.
Asante kwa swali zuri.

Wiki iliyopita kuna kijana kaja kwangu hapa Marekani.

Ametoka Tanzania.Amekuja kwa scholarship maalum.

Tuliongelea suala hili. Nilitaka kujua kapata vipi scholarship yake, mbona yeye kaweza wengine wengi wanashindwa.

Kuna suala moja muhimu tulikubaliana, watu wengi hawana maono wanataka kufanya nini. Hawana intentionality, hawana mpango maalum, na pengine, hawajui hata waanzie wapi. Mara nyingi jitihada binafsi huwa zinasaidiwa na mtu kuwa na sehemu ya kuanzia kuwa nzuri, mara nyingi ukiwa hata sehemu ya kuanzia ni mbaya, hata jitihada binafsi pa kuzielekeza inaweza kuwa mtihani, mtu anakuwa hana networks nzuri au credentials za kueleweka.

Yani, watu wegi ambao hawana msingi mzuri, hata kujichanganya sehemu husika hawajui, hata huko Youtube kuna vitu muhimu vya kufuatilia hawavijui.

Wanakuwa kama wanazurura ovyo bila kujua wanataka kwenda wapi.

Na, usipojua unataka kwenda wapi, huwezi kufika unapotaka kwenda.

Huyo jamaa nilimstukia ni mjanja sana katika kutafuta fursa, tuliongea mengi sana, siasa, falsafa etc. Lakini akaja kuniuliza kama anaweza kumtafuta mtu moja niliyemtaja, tena nilimtaja katika stories tu. Nkagundua huyu mtu ana uwezo mkubwa sana wa ku network na watu, halafu anajiamini, halafu hana haya kutafuta fursa.

Jamaa alijua anataka nini, akakutana na mtu mwingine aliyepata hiyo scholarship, akamuonesha amefanya nini ku apply, aka apply, akapata.

Sasa utakutana na mtu anakwambia anataka kuja Marekani, unamuuliza anataka kufanya nini? Anakwambia kazi yoyote ile. Mpaka hapo kazi yako inakuwa ngumu.

Kuna deals nyingi sana, kuna networks nyingi sana, lakini je, watu wanajua wanataka nini na kutafuta wanachotaka?
 
Back
Top Bottom