Recent content by Shebbydo

  1. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Funzo katika sakata la watu kudai kuibiwa Nyeti

    Nadhani nimeeleza ndani.
  2. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Funzo katika sakata la watu kudai kuibiwa Nyeti

    Habari wakuu Ni matumaini yangu sote tu wazima wa afya, ila moyo wangu umejawa na masikitiko kutokana na yale yanayoendelea nchini hasa katika sakata la "nyeti". Sipendi kuwa mwamuzi wa kusema vitendo hivi vipo au havipo kwa sababu ninaamini ulimwengu huu una mambo mengi ambayo mengine yapo...
  3. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya ndege toka FB

    Hawajakupa jibu tu pamoja na kuandikwa nyuma ya viti? Lakini mimi nikiona tu hakuna control column, kuna control stick, moja kwa moja hiyo ni Airbus.
  4. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya ndege toka FB

    Ni kweli lakini hii ni basics. Kwa ndege kubwa angani katika spidi kubwa ukitumia rudder itakupa deflection kubwa. Kwa lugha rahisi katika spidi kubwa angani, ndege hutumia ailrons na baadhi ya spoilers. Hivyo ndege hukata kona ilikoinamia.
  5. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya ndege toka FB

    Marekebisho kidogo. Hiyo ni weather radar antenna. Weather redar ni system ambayo unahusisha Antenna na transceicer. Hapo kwenye pua ya ndege ni Antenna.
  6. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya ndege toka FB

    Well said..ndege kurudi kinyume nyume possible theoretically but in really world kuna ugumu wake.
  7. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Siyo kweli
  8. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Kwa nini umekuwa conclusive kabla ya kujifunza kwanza?
  9. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg

    Tunauza Sangara kwa bei ya Tsh 7000/1kg, Tupo Tegeta kwa ndevu. Mawasiliano 0678033668 Pia ninahitaji mtu wa kufanya marketing ya Samaki Sangara na Sato kwa jumla. Malipo tutaongea
  10. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio "top ten" ya makabila yaliyoshikilia uchumi wa Tanzania

    Huu ni utafiti au mawazo ya mtu?
  11. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Kila.mtu na nyumba ya ndoto yake. Wote hawawezi kuwa na ndoto ya vyumba viwili na sebule.
  12. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni wapi tena hapa watu wanataka kunyonya mafuta

    You made me laugh
  13. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Yule Yesu feki hajafa anadunda tu na kula bata.

    Kwanini anaitwa wa bandia? Yule muigizaji wa Uingereza anayefanana naye ndiye halisi?
  14. Shebbydo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

    Ubunifu wa baadhi ya wadada wa kibongo ni wa hovyo sana. Huwezi kuamini wapo wadada ambao wanaonekana wana elimu nzuri tu lakini wamebuni njia ya kupambana na maisha ni kuwa matapeli. Kuna dada mmoja mimi nilikuwa nikichat naye na anaonekana kasoma bachelor ya IT. Mwisho wa siku kaishia kutapeli...
  15. Shebbydo

    JamiiForums Tanzania Ban ya Google kwa Huawei inaifundisha nini dunia, hasa wewe mtanzania?

    Kumbukeni Windows OS ilivyokufa!!. Window OS ni nini na ilikufaje? Mimi ninavyojua ninkwamba; window, android, Ios, macntosh na nyinginezo zote ni OS. Mimi siyo mzuri sana kwa Computer Science maybe nikajifunza kitu kipya hapa.
Back
Top Bottom