Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Nimekutana na picha hii inasambaa mitandaoni gari la mafuta limeanguka na raia kama walikuwa wanataka kuanza kuiba mafuta lakini bahati mbaya lori halikuwa na mafuta hii ajali hii ya lori ni kama imetokea siku ya l
eo hv