Recent content by Shebby218

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa saikolojia: Nikitania nampiga mke wangu mtoto analia

    Aisee hii kitu nami huwa nafanya ivo ivo lakin mtot Wangu Amalia sana, yeye anamiez 11, wataalum tusaidieni
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siri nzito yafichuka kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki

    Mmmmhhh!!! Wew watakaje?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Daa! Kweli street university kiboko,nimelizwa na matapeli wa m-pesa

    Aisee pole jamaa, kuna rafik angu alipigwa laki tank na elf kumi kwa mtindo huo huo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa KKKT, Fred Njama ataja mambo 6 yanayoitafuna nchi

    Nackia amekamatwa na polisi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aeleza sababu za kutosafiri nje ya nchi

    Muulizeni mbeya au lringa ameenda mar ngap na chato, Mwanza au kanda ya ziwa ameenda Mara ngap? Ukipat jibu baki nalo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya ku download clips instagram

    Nenda playstoe kapakue app inaitwa lnstadownloder
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kichwa cha Treni kilichopata ajali Kigoma si moja ya vilivyokutwa Bandarini Dar

    Ivi mbarawa wew ni msomi pekee tanzania unayekanusha kitu kinachofahamika?
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Duuuuhh!! Yaan MTU unasoma hadi unajickia raha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaomtumia matatizo yetu Mange Kimambi kwa kujificha ndiyo njia ya kuyatatua kweli?

    Kwani Mange naye ni mtanzania anapaswa ajue kinachoendelea kwenye nchi yake, wew ulitakaje labda?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi DW ni chombo cha habari au ni chombo cha kiuwanaharakati?

    Angalieni TBC , kwan walichokosea ni nn au nan hajui odinga ni rafik Wa nanii
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba nijulishe shule za private zinazopatikana ndani ya Mbeya

    Itende, mbalizi, songwe, sangu, lvumwe, Samaritan, Southern highland, Malambughì au airport, kwa uchache, ila zipo nyingi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mtandaoni yanaweza kudumu?

    Mim nimedumu naye toka mwak 2013 wakat nipo chuo na saiv nimemuoa na nina mtot mmoja
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Radio za Tanzania popote ulipo duniani bure

    Asanteee sana mtoa Uzi, nimefurahi sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Tuliambiwa hatuwezi kuvuka mto, tulivuka kuangalia mashamba yanayolimwa kiini cha bonde

    Watu tumevuka mito, unatafuta kiki kwa pikipiki
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Hata angeenda Norway wasenge wangesema tu, Pambana na hali yako
Back
Top Bottom