Recent content by Shaza Co

  1. Shaza Co

    Amos Makala karibu Mbeya

    Kwa hiyo wananchi wakidhurumiwa na mkuu wa wilaya hawawezi lalamika kwa RC?
  2. Shaza Co

    Amos Makala karibu Mbeya

    Duu umenikumbusha nilienda kutafuta shamba nikaambiwa huwezi pata bila kumuona wakala wa mkuu wa wilaya Mr Ambani sikuamini ila leo unaanza kunipa mwanga. Naamini Rc atapata ujumbe huu liwe jipu lake la kwanza kulitumbua, ama akikaa kimya tutajua naye kaingia kwenye biashara
  3. Shaza Co

    Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    Hili halipaswi kushabikia hata kwa sisi wanaccm kwani tunachofanya ni ubaguzi na unaweza kuleta madhara makubwa huko mbele, siasa za namna hii zinanikumbusha miaka ya 96..... Wakati wabunge wa upinzani na ccm walishindwa hata kusalimiana tunaenda huko. Wazazi wangu hawakunifunza hivyo Dini...
  4. Shaza Co

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Bila kumsahau yule aliyetukana pale jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za ccm
  5. Shaza Co

    Kikwete: Kwanini Mahakama ya Kimataifa ICC, inawashitaki Waafrika kwa wingi?

    na aje hapa atuambie ulaya na afrika nani anafuata misingi ya DEMOKRASIA. JE ULAYA KUMEWAHI KUTOKEA VITA ZA KIJINGA KAMA KIMBALI NK
  6. Shaza Co

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    wakuu huku mbeya umeme umekatwa. tupeni update
  7. Shaza Co

    CHADEMA kujitowa UKAWA

    Kuna ugonjwa unajulikana kama kansa ya mitandaoni, ndo uliokukuta turufudume, dawa ya kuponyesha ugonjwa huu ni kuingiliwa kinyume ndo utapona
  8. Shaza Co

    James Nsekela na wenzake wawili kwenye listi ya Zitto ni akina nani?

    Hivi kule ujerumani zzk alikokokuwa akipitishia fedha yake sio nje ya nchi
  9. Shaza Co

    Hahahahaha...Zitto agwaya kutaja majina ya Mafisadi

    Nakiona kipindi cha mrema alipoanza kujiishia nafananisha na huyu bwana
  10. Shaza Co

    Kwanini Kujiandikisha Kupiga Kura Kumegeuzwa Adhabu?

    hii ni kutokana na utaratibu mbovu. kwani machine za BVR zipo kwa mpango wa wachache.
  11. Shaza Co

    Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    Gazeti lolote likiandika habari za kumsifia zzk ukurasa wa mbele huwa haliuziki
  12. Shaza Co

    Watia nia wa CCM wekeni mali zenu hadharani

    Lowassa na wana-CCM wenzenu tutajieni miradi yenu inayowaingizia kipato ili tuamini kuwa kufulu za fedha mnazochezea siyo za Richmond nk.
  13. Shaza Co

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Tusipo mtumia huyu mtu tutajutia
  14. Shaza Co

    Ushindi wa CHADEMA Ukonga waleta neema

    yupo binti anaitwa Sophia makamba anafit Ku replace Udiwani kivule
Back
Top Bottom