Recent content by SHARPVILLE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mumsaidie kijana huyu

    Well Mentor sasa kuna vitu vingine zaidi kwa hili la kutokuaminiwa na hasira afanyeje?hata kama sio kwa huyu tena,vipi kuhusu huko mbeleni?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mumsaidie kijana huyu

    Ndio sababu ya kuhisi huyo jamaa ana wasichana wengine?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni mumsaidie kijana huyu

    Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu, akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri. Anasema ana umri wa karibia 30, hajaoa ila kwa nyakati tofauti amekuwa na mahusiano na wanawake wanne tofauti ananiambia kati ya hao wote hakuwahi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya Kweli kufahamika!

    Nimesikitika sana na thread aliyoiandika mh. Kigwangala mmoja ya wabunge ambaye naamini kama angeingia kwenye tasnia ya muzic na hasa taarabu angefanya vizuri zaidi. Nimesema hivyo baada ya kumfuatilia wakati anachangia kwenye muswada wa marekebisho sheria ya katiba mh. kigwangala alitumia muda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare apata dhamana...

    Im so so happy for him.......Mwigulu na CCM wameshindwa vibaya na hii Ni dalili tosha za kifo cha CCM....Mungu Yupo upande sahihi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Muasisi wa neno "MAAMUZI MAGUMU" ni Edward Lowassa......Hili halina ubishi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Mhe. Magufuli amesema bungeni muda mfupi uliopita, maamuzi magumu si muhimu yanaweza kutolewa hata na vibaka, bali viongozi watoe maamuzi makini. Ikumbukwe kuwa muasisi wa neno "MAAMUZI MAGUMU" Ni mh. Edward Lowassa ambaye kwa nyakati tofauti amekuwa akiitaka Serikali ifanye Maamuzi magumu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Katika hali isiyo ya kawaida Waziri wa ujenzi Dr. John P. Magufuli amekiri ndani ya Bunge kwamba MWANZA NI ngome ya CHADEMA.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Huaminiki hata na Katoto Kachanga,Huna tena nafasi kwa umma wa watu makini.....tunajua unafanya haya kwa kujipendekeza,pole!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Sorry Amu but ofcourse u are justifying the truth as to why women deserves only a 0% trust.......!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbatia agomea uteuzi wa Pinda,atao sababu tatu,ufaulu wa shuka toka asilimia 89 mpaka 43

    Aksante sana Mh. Mbatia.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to Me...Mentor

    Happy Birthday Kaka.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Live from LEO TUPO HAPA PUB

    Nimemmiss Remmy
  14. S

    JamiiForums Tanzania Live from LEO TUPO HAPA PUB

    Ha haa duh!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Live from LEO TUPO HAPA PUB

    Mkuu usijali yupo salama bhana.
Back
Top Bottom