Recent content by Sharobibi

  1. S

    Kodi ya simu kurudi bungeni agosti,ni baada ya kutokea utata kuhusu kodi hiyo...!!

    waende wakatoze kwenye madini mbona suala hilo sio ya kuumiza kichwa kuhusu kutozwa wapi
  2. S

    TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

    watu wengine sijui wanasomea visogo, sasa unauliza nini bila kusoma hoja iliyowasilishwa
  3. S

    Serikali iwanusuru wafanyakazi

    nakuunga mkono asilimia mia, mifanyakazi haitulii ofisini kutwa kwenye ishue binafsi watabuni saa ngapi mambo mapya, stori ofisini ndo code of ethics zao. lakini pia wanatakiwa kufahamu mishahara haiwezi kuringana kati ya kada moja hadi nyingine. tuwe wabunifu sio kutaka tu mishahara mikubwa
  4. S

    Gerald Hando muombe msamaha Dr. Ulimboka

    Madaktar kazen buti mpak kieleweke. Tena huyo hando akija anaumwa mumdunge sindan ya virus vya ukimwi
  5. S

    Tv na radio cloudz: Live ktk kuaga mwili wa marehemu kanumba.

    Rip kanumba, acha watu waseme mengi na kukup sifa nzur na mbaya,lakin njia ni moja. Huyo anayesema umekufa kwa uzinz hajui yy badae atakufa kifo gani.
Back
Top Bottom