Recent content by Sharifux

  1. Sharifux

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Siasa ni nini na nani anaamua hii ni Siasa na hii ni Dini?

    Maana Ya Dini Umepuyanga Mjomba. Dini Ni mfumo au utaratibu mzima wa Maisha Ya mwanadamu. Hapa Ni Kuishi Kwa Kufuata misingi ya imani na Maadili ktk Kila Kona Ya Maisha. Siasa Ni usimamizi wa Mambo ya Kijamii mfano... Elimu, maji, Umeme, Barabara, Ulinzi, Maendeleo NK. Hivo basi Siasa Imo ndani...
  2. Sharifux

    JamiiForums Tanzania Kama chanzo cha uhai kinaweza kubadilika basi uhai wenyewe hauna msingi thabiti hadi sasa. Je, ni upi msingi wa uhai?

    Msingi wa Uhai ni Uhai wenyewe, kama Ilivyo msingi wa Binadamu ni Binadamu Mwenyew... Mungu ni Dhana Ya Kibinadamu Ktk Kutafuta Msingi wa Kila Kitu Ktk Ulimwengu Huu. Lkn Hakuna Kitu kinaitwa Mungu kana Kwamba Kiko Pekee. Iko Kitu hakipo. Isipokuwa Binadamu ni Kila Kitu Katika Ulimwengu Huu, Ni...
  3. Sharifux

    JamiiForums Tanzania Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    Kwahiyo Viongozi wakiwa na Watoto 10 Wote walipwe... Aiseee Hili litakuwa Wazo zuri Saana Viongozi wanapitia Magumu Saana Ktk kuendesha Majukumu yao
  4. Sharifux

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Zwww
  5. Sharifux

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    402 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sharifux

    JamiiForums Tanzania Tevee kinywaji kipwa katika Vijiwe vya Kahawa

    Ni kijnywaji kipwa Kama heading ilivosema Waungwana Hiki kinywaji ukitembelea sehem zile za vijiwe vya Kahawa unanikuta Ni Kichungu mithili ya Shubiri. Kwa anaekifaham asili yake ni wapi na kinafaida gani na Athari gani Mwilini maana Ni kichungu sanaaaa.....
Back
Top Bottom