Recent content by shareef95nes

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama umechaguliwa kusoma Law pita hapa

    sifahamu mi namskiaga tu mwanasheria mmoja akitamkatatamka ilo neno ndo nikalinyaka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama umechaguliwa kusoma Law pita hapa

    nielezee land law
  3. S

    JamiiForums Tanzania Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

    boss kaua bhana... acheni fitna hahah
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha alama

    Andika kitu ueleweke
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la tano amuua mwanafunzi mwenzake

    utoto unamengi ukibahatika kuupita salama shukuru mungu,maana unafanya vitu usivyojua/kutambua effects zake.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuingia vyuoni mwaka huu

    october au november mwanzoni
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kuhuzunisha kidogo lakini chenye Mafunzo mazuri

    nakupenda mama
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    teh teh teh! we jamaa kwa takwimu kama mzee pombe magufuli
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    pole sana mkuu,tena sana
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    these are the unforgettable moments am talking about...hutasahau kamwe as long as hiyo "sweet life" ya fally ipupa ipo hai....kweli life with music is sweet
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    kweli kabisa
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    hongera kwa kumbukumbu nzuri yenye kuvutia
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    pole sana! mkuu
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    Habari, Nyimbo hutukumbusha matukio mbalimbali yaliyopata kututokea hapo nyuma.Matukio haya yanawezakuwa ya furaha au huzuni katika swala zima la mahusiano. Binafsi nikisikia wimbo wa "Missing you" by Busy Signal nakumbuka miaka miwili nyuma nilipokuwa na mpenzi wangu wa zamani katika fukwe...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nikifeli mtihani wangu wa leo jioni nitawalaumu members wote humu kudadadeki.....

    Haya! Watoto wa MULUGo haOooo! Nyie ndo mnafanya Tz ishike chati kwa kuwa na maskini wa akili wengi
Back
Top Bottom