Recent content by share

  1. share

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais Samia aseme yeye ni ‘Chura Kiziwi’ alimpotosha

    Hana uwezo binafsi kiakili. Navishangaa vyuo vikuu vinavyompa PhD hata kama ni za heshima. Hastahili. Rejea MATOKEO yake ya Form 4. Ni aibu mtu aliyepata Division 4 yenye points zinazokaribia kupata Division 0 eti anakuwa Rais wa nchi na kuzawadiwa PhDs za heshima kibao!!! Hebu tuwe serious...
  2. share

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza kashfa kwa Jeshi la Polisi, napendekeza yafanyike mambo haya

    Ibiwa halafu nenda uwaone kama watakusaidia! Kuibiwa kwako ni mtaji kwao. Lazima wakunyonyoe kwanza ndio wawajibike. Tena siku hizi wanadai hongo hadharani kabisa bila kificho!. Hawana maadili ya kazi kabisa. Wewe ni mgeni bongo hii? Au ni mmoja wao? Bongolala wewe.
  3. share

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

    Mhhh, endelea kumfanya mwanamime kuwa ATM yako. Utashangaa mpaka ushangae. Kwani kaka yako huyo?
  4. share

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza kashfa kwa Jeshi la Polisi, napendekeza yafanyike mambo haya

    Polisi ni wavuta bangi tu. Wengi wao ni machokoraa wa mitaani, hayakusoma. Wameajiriwa kwa vyeti vya kufoji vya Form 4. Nani awalipe mishahara mizuri?
  5. share

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Ngoja apige chabo mkeo akioga.
  6. share

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    Mwizi anawajua wezi wenzake ila kamwe hawataji
  7. share

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Na mtambo huo Namba 9 una hitilafu. Wakati wowote utazimwa.
  8. share

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    0713 mwiko.
  9. share

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

    Chezea Katoliki nini. Hilo ndiyo ingini ya Dunia.
  10. share

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Rais Samia afukuza kazi kuanzia RAS, DC, DED mpaka DAS. Awaonya wateule wanaofanya kazi kwa mazoea,kushindwa kuwasikiliza na kuwajali Wananchi

    Saa 100, toto tundu lako Chalamila nalo bado halijakua. Dar hapamtoshi. Lifukuze.
  11. share

    JamiiForums Tanzania Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Uchambuzi ulioenda shule. Asante kwa madini bora ya kiakili pevu.
Back
Top Bottom