Recent content by Shapu

  1. Shapu

    KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

    Nilidhani hii shida ni ya hivi karibuni kumbe tangu Feb 2025 hawa jamaa hawarekebisha app yao? Mm nimefanya mwamala kwenye Mpesa with ile TIPS, ikaniambia transaction successful manake na risiti imetoa. Lakini hela mpk leo haijafika. Sijui kwa nini maana siwezi hata angalia statment as nimelipa...
  2. Shapu

    Tanzania yashitakiwa ICSID ikidaiwa kukiuka mikataba ya gesi asilia ya Sh Trilioni 3

    Nadhani kwenye hizi kesi tunatakiwa kuunganisha nguvu kama taifa (irrespective ya vyama etc) ili tuweke mambo sawa. Ili linawezekana tu kama tutaacha ubinafsi.
  3. Shapu

    Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    Thank you. This is well put (umeiweka vizuri sana) hata mm kuna jinsi sikuwa nimeeleza hizo kesi mbili now i understand. Ndio maana watu wengi wanawatukana mahakimu na majaji lakini ulivyo elezea ni kuwa hatujui sheria vizuri. Na pengine sheria zinahitaji kupitiwa vizuri ili hata mtuhumiwa wa...
  4. Shapu

    Aliebuni kupokea mshahara mwezi hadi mwezi alaaniwe ona upwiru unavyonitesa na hela sina

    Nadhani tungeanza na aliyebuni mwezi kuwa na siku 30. Huyu angeseam siku 10 mambo yangekuwa safi mshahara ungekuwa ni baada ya siku 10.
  5. Shapu

    Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

    Hivi kesi hiyo ina dhamana? Yuko nje au lockup?
  6. Shapu

    FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    Hii kitu ya Mpina ni Ndefu sana, nimetumia akili Mnemba kupata summary: Idadi ya Tani za Gap Sugar: Waziri alidai kuwa nchi ilikuwa na gap ya tani 60,000 mwaka 2022/2023, lakini Mpina alisema ukweli ni kwamba gap ilikuwa tani 30,000 na si tani 60,000. Uingizaji wa Sukari: Waziri alisema hakuna...
  7. Shapu

    Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

    Mbona mm hiyo rate siioni hapa? Treasury Bonds Issuance Calendar For The Financial Year 2023/24 by SOLOMON On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania (URT), the Bank of Tanzania plans to issue 2-year, 5-year, 7-year, 10-year, 15-year, 20-year, and 25-year Treasury bonds...
  8. Shapu

    Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

    Kuna jinsi sijaelewa ukisikiliza dakika ya 50-51 anasema Mauzo yale ndio yameleta faida hizi. So kweli bandari zimeuzwa?
  9. Shapu

    Wabunge wa Zanzibar wanatakiwa kuhudhuria vikao vya bunge vya mambo ya muungano tu sio vikao vyote vya bunge

    Sometimes kuna saa naona hata bunge lenyewe kukaa kaa the way wanakaa naona wastege of time na hela. Hasa zama hizi za ki digitali nadhani something better could be done. Wanapoteza muda tu. Baadhi hata wanayochangia unaona ovyo tu.
  10. Shapu

    Mateka aisifu Hamas

    Her husband is still being held captive, of course she won't say anything bad about Hamas!! Same for the Americans released who still have family members being held.
  11. Shapu

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Nimecheka saaana. Wee jamaa umetafakari sana haya mambo kwa kina. The way ulivyoandika sasa.....
Back
Top Bottom