Remot test iko poa aloniuzia remot amenibadilishia dizain ingine singsung sema haina iyo nembo ya mnyama kama ya mwanzo
na amesema ipo tena dizain ingine kama hii ya pili imekataa nijarb ya tatu na ela inaongezeka
Je labda kuna ujanja mwingine plz
Singsung nime wa email wameniambia nitembelee...
Naitwa Jose Nipo Daslam nafurahia kujiunga humu
Kwani niliufahamu tangia mtandao huu
Hivyo sasa nimeamua kuomba kujiunga na JF, Nashukuru kujumuika na nyinyi wapendwa.
Nzuri Hiyo
Msaada wajanja tafadhali
Forex nadhani inajulikana Sasa kuna jamaa tulikuta njiani Akanijulisha aniunge aina ingine yaaani Forex East africa investment ww una relax unafanyiwa tu
Faida 3000 - 5000 kwa siku, mawasiliano naona atupatani kwaanaye jua pleeeez ni kweli iikitu ipo...
Tafadhali msaada nimenunua remote mpya ya singsung niitumie kwenye tv ya brand iyo ila haija respond vipi kuna procedure yoyote ku conect kama zile za universal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.