Recent content by Shanyangy

  1. Shanyangy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara za kuwa baba wa kambo

    Dua tu mbona.
  2. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

    Itakuwa pesa tu tutafute hela tu
  3. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Rafiki yangu amehamia kwangu na mabegi

    Ndugu yangu jifunze kuwasaidia rafiki zako na kuchukuliana mambo acha ubinafsi.
  4. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

    Tupe fact tuone kwel kamzid
  5. Shanyangy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Duu mlikuwa wababe saba aisee
  6. Shanyangy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji cycle mpya ya marafiki

    Picha ya nini kwa mwanaume mwenzako
  7. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

    Kwel aisee na mm nashukuru sikuwa na hela ndefu ya kiivyo ningepigwa kipigo kitakatifu na sasa hv hata web yao aitingi tena
  8. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

    Niliachana nao nikaweka nimepoteza hyo pesa
  9. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Kati ya bajaj na trekta kipi kitega uchumi kizuri

    Ukiendesha mwenyewe au ukimpata mtu sahihi wa kuendesha mambo yatakuwa supa tu.
  10. Shanyangy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuendelee au nimuache aende zake

    Atakuwa anakuja likizo so what amua tu mwenyew mzee atakuwa anakuja likizo kukuona af anarud.
  11. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

    Yaan acha tu ni kitendo nichokijutia mpaka leo.
  12. Shanyangy

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

    Nimeona hatar mbele mkuu bora nipoteze hyo kuliko 6.
  13. Shanyangy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini siri ya Wanaume kutangulia kufa na kuacha Wake zao wajane?

    Nani kasema kufa ni miaka.
  14. Shanyangy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini siri ya Wanaume kutangulia kufa na kuacha Wake zao wajane?

    Hlo ni fumbo huwezi kujua chochote hapo zaidi ya porojo tu anayejua ni Mungu pekee.
Back
Top Bottom