Sijui hii n changamoto au nini...
Kuna sehem nilikaa kwa ndugu nikiwa mdogo
Miaka kazaa baadae umri ukaenda nikakua,mama mwenye nyuma akaanza kunitaka kwa kila njia na alifanya kila njia akanipata na nikamla...ila n watu poa sana hawakuwah kuninyanyasa wala nn na niliish kama niko kwetu ila...
Nilishawah kuwa na mahusiano na mwanamke wa aina hiii ambaye tulipanga kuoana yani kila shughuli lazima ahakikishe anahudhulia na sare anashono, ikaona isiwe kesi, sikutaka ushaur popote nilikaa chini nikatafakari nikaona kumuacha ni sahihi basi nikaachana nae kwa aman pasipo yeye kujua chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.