Recent content by Shaniqwa

  1. Shaniqwa

    Kama serikali mntaka Wananchi wanunue magari ambayo si ya kabla ya 2010, basi kodi mnayoshikilia mjitafakari

    Hata wewe uliyonayo unajua hayo magari ni used na ni ya mwaka gani? Wabongo bhana umejiona unajuaaa na uko na wakati balaa. [emoji3474][emoji706] ukute ni msomi kama waliotuambia kinyesi kinaua samaki[emoji1664]
  2. Shaniqwa

    Unafanyaje pale ambapo unahisi kumchoka mpenzi wako?

    Kama ni mchepuko unasema haya: 1.wife amejua aisee ametishia kuondoka na wanangu na ntachanganyikiwa akiondoka nao[emoji26] 2. Nna mambo mengi nataka kutuliza akili ili niyafanye kwa ufanisi [emoji848] 3. Kazi zimenizidia nahisi napoteza focus hivi itabidi niwe makini sana nahitaji muda mwingi...
  3. Shaniqwa

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    kama wana u serious huo mbona wengi watajikuta nje huku mchafukoge na kina sie :D :p
  4. Shaniqwa

    Ranking of Countries with the most Beautiful Women in Africa

    Neverrrr As in Kenya and Nigeria ranks on top of Tanzania? Gerara hiya nigga Up to 5 cm play along tho
  5. Shaniqwa

    Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Soma magazeti ya leo kunguru wewe....unaishi angani utajuaje ya duniani.
  6. Shaniqwa

    Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Kwani ikitoa tamko ndio nini? Acha kujifunika blankets za kutojielewa....fuatilia ujue au uulize.
  7. Shaniqwa

    Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    Kitenge na wenzie wana sura nyingi alafu uelewa hawana...issue kubwa ya so called journoz wa nchi hii uelewa sifuri kelele mingi. Kasome kwanza alafu uje na mada yenye maana sio huu upuusi ulioandika
  8. Shaniqwa

    Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

    Kuwa emotional ni kawaida nimeona na kusikia wazazi wakilia kwenye harusi za binti zao labda kuwaza so jamaa atakuwa anamfilimba binti yake same na yeye alivyomfilimba mamake....anasahau dogo alishafumuliwa bikra akiwa form 2 labda maana pale umri ndio umetaradadi au house girl na mama mdogo...
  9. Shaniqwa

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Ukimaliza kutoa povu lako la kutokujielewa na uelewa finyu kwenye intra country trading issues kalale. Rubbish Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  10. Shaniqwa

    Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

    Nafikiri kabla ya katiba mpya tungepata kuainisha hizo maslahi za taifa kwanza maana hazijulikani huwa tunaishia tu kusema "kwa maslahi ya taifa" je ni ardhi dhahabu tanzanite usalama wa nchi au? Yaani kuwe na kitu kinacho julikana ukisema maslahi ya taifa hata dogo wa kayumba std 5 na zile fm...
  11. Shaniqwa

    Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

    Naomba uniorodheshee maslahi ya taifa mkuu. Nna mtihani kesho. Shukrani
  12. Shaniqwa

    Katibu Mkuu CHADEMA asante kwa kuwatambua nakukaribisha maoni kwa Wananchi

    Nashauri CHADEMA waitumie hela hiyo kujenga kitu cha kutumika na uma, mfano zahanati kama 2 au 3 zitumike kwa manufaa ya wananchi maana hata wachangiaji walikuwa wananchi. SIASA NI MAENDELEO
  13. Shaniqwa

    Operesheni dhidi ya magari mabovu kuanza Juni 6, 2021

    Bora, ukiangalia foleni zinazosababishwa na magari mengi mjini ni mabovu hayana road worthiness so bora kuyaondoa magari mabovu barabarani kwa usalama wetu. Kudos
  14. Shaniqwa

    Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

    Unateseka sana mkulungwa, pole lakini. Kuna matumaini madogo sana kwa watu wa aina yako. Punguza chuki binafsi na kulia lia kisa humuelewi mazza.
  15. Shaniqwa

    Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

    Watanzania tuna shida kubwa sana, kwani kulikuwa na ulazima gani kuandika hivi? Subiri magazeti yatakuandikia kiswahili Tujifunze kuwa kiswahili sio lugha ya kila mahali na sio rafiki ya kila mtu ukiwamo wewe.
Back
Top Bottom