Recent content by Shanily

  1. Shanily

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

    Hiyo ni sawa na kujitekenya kisha unacheka mwenyewe.
  2. Shanily

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Sina la kusema kwakweli.. Nasoma comment
  3. Shanily

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

    Yaani anawaza mikopo tu. Aiseee😃😃😃 nacheka kama mazuri ila ni huzunii.
  4. Shanily

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kosa lake nyerere kwanini atuunganishe!?. Tuendelee kuvuna matunda ya Muungano. Na wao wanatumia haki ya Muungano tuendelee kuungana.
  5. Shanily

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeanza udini?

    Asante au yeye ndo anauona leo🤔
  6. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya viongozi wa dini Elimu zao ni ndogo?

    Kwahiyo tukusaidieje labda!?.
  7. Shanily

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

    Yeye angekuwa anaitakia mema nchi na anataka haki angesimama kidete kwenye uchaguzi, asingeanza siasa za mdomo badala ya vitendo. Kitendo cha kuanza siasa za maneno tayari ni kutoka kwenye weledi wako. Amezingua pakubwa. Na bado anachochea watu waandamane!!!.
  8. Shanily

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

    Yeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyu
  9. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kujitenga na Siasa ni Kufanya Siasa

    Kila mmoja na fikra zake usitujumuishe. Wewe unataka katiba mpya, tume huru, mm sitaki kwasasababu sijaona shida na katiba mliyopo, mtaniambiaje nifanye siasa!?. Waliopo sijaona kosa lao kwanini nijihusishe!?. Kufata amri ya waliopo madarakani haimaanishi huwezi kuikwepa siasa, unakwepa siasa...
  10. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kuwateua ndugu katikati ya sintofahamu kubwa hivi ni kuwapa watu sababu ya kuandamana

    Watz siku hizi wanalalamikia kila kitu😂, yaani hadi mtu kumteua mwanae unalalamika,!?. Jiulize wewe ndo ungekuwa na hayo mamlaka kuna mtu ungemuacha kwenye ukoo wenu. Kama mtu anakidhi vigezo kwanini asipewe cheo kisa kuhofia watz watasemaje. Binadamu hawajawahi kuacha kusema hata iweje.
  11. Shanily

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh: Wameona waliokufa Waislam si wengi, wanataka wawashawishi Waislam waandamane ili wafe wengi kama wao ili mlie kama wanavyolia

    Hebu rejea hata vitabu vya nyuma, watu hawakupigana vita kiholela walipigana vita baada ya kuwa na nguvu za kutosha. Sasa unavyofikiri tayari mshakusanya nguvu za kutosha ili kupigana hiyo vita mnayoianzisha!?, Au ndo mtaanzisha vita kisha mtakuja kulalama Watz wengi wameuliwa. Nasisitiza...
  12. Shanily

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh: Wameona waliokufa Waislam si wengi, wanataka wawashawishi Waislam waandamane ili wafe wengi kama wao ili mlie kama wanavyolia

    Mbali na hayo shehe, hakuna faida yoyote ilopatikana katika kuandamana zaidi maisha yamezidi kuwa duni tu kila uchwao. WaTz sijui wamekumbwa na upuuzi gani!?. Siku zote pigana vita ambayo unauhakika wa kuishinda vinginevyo ni kujiumiza na kuumiza wapendwa wako. Acheni huo upuuzi bhna. Mnafanya...
  13. Shanily

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

    Bibie nafikiri ndo aneongoza kuwa hamnazo 😅
  14. Shanily

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

    As usual ,the man being the problem maker
Back
Top Bottom