Recent content by shangwe shangwe

  1. shangwe shangwe

    Awamu ya 5 ya majina ya waliopata mkopo HESLB

    hilo tangazo la lot ya 5 mbona halipo kwenye wavuti wao?
  2. shangwe shangwe

    Continous students waliokosa mikopo miaka ya nyuma

    "kuhakiki kama loan officers walipeleka taarifa bodi ya mikopo" . Taarifa zipi tena mkuu? form za maombi zilishapelekwa bodi muda mrefu sana, bodi ikatoa majina ya waombaji walio kosea baadhi ya vipengele, wahusika wakaenda bodi kurekebisha taarifa zao. Sasa hizo taarifa nyigine ni zipi?
  3. shangwe shangwe

    Ombi muhimu sana kwa heslb

    Napenda kuwa kumbusha na kuwaomba HESLB kuwa mnapoendelea kufanya hiyo kazi yenu nzuri ya ku allocate mikopo kwa first year MSITUSAHAU NASI CONTINUING STUDENTS kwani nasi pia tuliwasilisha maombi ya mkopo kama wengine. Mungu awabariki! (continuing wote mlioomba plz coment hapa ili tukumbukwe)
  4. shangwe shangwe

    Picha tu: Lowassa Mwanza

    JamiiForum siku hizi imevamiwa na wasiona uwezo wa kufikir kabsaaa. imepoteza radha yake.
  5. shangwe shangwe

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    ukiangalia jinsi vyama vinavyo tumia pesa wakati huu wa kampen fedha ni nyingi sana hasa ccm
  6. shangwe shangwe

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    pia mabadiliko yatapatikana nje ya ccm (mwl. Nyerere)
  7. shangwe shangwe

    NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

    mshukuru Mungu na usisahau kumchagua Lowassa ili tupate elimu bora .
  8. shangwe shangwe

    Sababu kuu 3 kuanguka kisiasa kwa zitto kabwe 2015

    Zitto amekusudia kugombea tena ktk jimbo la kigoma mjini licha ya ahadi zake hapo nyuma kuwa hatagombea tena ktk nafasi hiyo. Wakati huo huo aliyekuwa mb.wa kigoma mjini Peter Selukamba tayari kachukua fomu ccm kugombea ubunge jimbo la kigoma kaskazini aliloliongoza Zitto kwa miaka 10. Hivyo...
  9. shangwe shangwe

    Rufaa za mikopo elimu ya juu 2014/2015

    Wadau tujuzane kama bodi ya mikopo imeshatoa fedha kwa walio kata rufaa(appeal). Manake naona kimyaaa. Thanks!
  10. shangwe shangwe

    Pinda Live Star TV

    aulizwe hatima ya vijana waliokosa mikopo vyuo vikuu
  11. shangwe shangwe

    Musoma Technical High School

    ha ha ha ha GINING MOJA, PREAMBLE kama kawa. mgomo kila julai. du!!
  12. shangwe shangwe

    Majina HESLB yaongezwa

    nisaidien hiyo s560.0052.2004
Back
Top Bottom