Recent content by Shangazi

  1. S

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Mpe kitu kama kataka mwenyewe coz sisi wanawake wa sasa uaminifu 0%. Saa nyingine unakuta mumewe mzee au wengine wana sukari hivyo jogoo hawiki sasa hamu apeleke wapi. Na wewe ushakula mzigo hapa watafuta kuhalalisha tu.
  2. S

    Komba hoi

    Uache uchizi na wewe. HAPO NDIO YUKO hOI?
  3. S

    Komba hoi

    Ndio maana wabunge wetu hawajali madaktari wakigoma sababu wanakimbiliaga India na kwingineko.
  4. S

    St. Florence Academy: Mabasi mabovu, Wanafunzi kusimama katika school bus si halali

    wamiliki wa shule waige kwa shule nyinginezo jinsi walivyo makini ktk usafiri
  5. S

    St. Florence Academy: Mabasi mabovu, Wanafunzi kusimama katika school bus si halali

    Ushauri mzuri wa kuunganisha nguvu wanafunzi wa jirani. Its too much for the kids!
  6. S

    St. Florence Academy: Mabasi mabovu, Wanafunzi kusimama katika school bus si halali

    Niseme ni mpangilio mbaya tu wa route na gari kuwajibika kuwapitia watoto weeengi. Nilimpeleka mtoto shule hiyo nikijua sinza na mikocheni ni karibu hivyo hataamka mapema matokeo anachukuliwa saa 12 kamili na anazunguka kwenye gari mpaka 1.30 ndio anafika shule. Na mashimo ya sinza basi ni...
  7. S

    St. Florence Academy: Mabasi mabovu, Wanafunzi kusimama katika school bus si halali

    Nipeleke malalamiko mara ngapi ndio nije kuandika hapa. Malalamiko kwa maandishi na mdomo wala si mara moja. Hapa ni just ku share na wazazi wenzangu na wewe si lazima uchangie
  8. S

    St. Florence Academy: Mabasi mabovu, Wanafunzi kusimama katika school bus si halali

    Kwanza, mabasi ya wanafunzi ya shule hii ni mabovu kiasi cha kushangaza kiasi cha kutishia usalama wa watoto wetu. Pili, Wanafunzi wanajaa sana kwenye mabasi kinyume na sheria za usalama barabarani ilhali wote wamelipa hela sawa ya usafiri. Pata picha mtoto mdogo wa darasa la kwanza au pili...
  9. S

    Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

    Mmh shoga we kwani wanaume wanatafutwaga hivi. huko mtaani au kazini hakuna wanaume waliokuvutia ukajigonga kwao? au huna mvuto?
  10. S

    St. Florence Academy: Watoto kuibiana na utukutu ni moja ya somo

    Another problem ni transport mwe! migari mibovu mara nyingi watoto huchelewa kurudi. Chelewa kulipa ada wewe, mtoto anarudishwa home first day no discussion
  11. S

    St. Florence Academy: Watoto kuibiana na utukutu ni moja ya somo

    Opportunist, Mimi binafsi nimesha piga simu weeeeee, nimeandika msg weeeeee, nimekwenda shule na kusema weeeeee ila hakuna bailiko. Last time mtoto aliibiwa swimming costume inaingia akilini hiyo. mwee!
  12. S

    St. Florence Academy: Watoto kuibiana na utukutu ni moja ya somo

    ninachokiona hapa ni watoto wasio wezi watajifunza na wasio wababe watataka kujilinda na ndio mwanzo wa kuwafanya watoto wetu vibaka.
  13. S

    St. Florence Academy: Watoto kuibiana na utukutu ni moja ya somo

    Duh! nilijua matatizo haya ni kwangu tu kumbe wengi. Inaelekea shule kuna kitu haifanyi. Ingekuwa serious kukemea kila siku kwa watoto na kuwaathibu watoto vibaka na wanaopiga wenzao tatizo lingeisha ila shule kama vile haijali iko kifedha zaidi. Mwanangu anaibiwa na kubondwa mpaka akaomba...
  14. S

    Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    Nyingine' uhakikishe daily uko nyumbani by saa 12 jioni unaangalia TV'
Back
Top Bottom