Recent content by Shangani

  1. Shangani

    Nauza kitabu Cha KISWAHILI Poor Dad, Rich Dad Cha Robert Kiyosaki - 10,000 Tsh

    Hivi vitabu havifanyi kazi kwenye mazingira yetu.
  2. Shangani

    Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

    Naona Shida ni mikataba ya kimataifa ambayo inakataza kupitisha lami kwenye hifadhi... Ukiangalia Liwale sehemu Kubwa ni hifadhi ya misitu na mbuga ya wanyama
  3. Shangani

    Barabara ya Songea kupitia Malinyi, mpaka Ifakara itajengwa kwa kiwango cha lami nikiwa Rais wa Tanzania

    Mkoa kwa Dunia ya sasa? Gharama za kuendesha mkoa nafikiri ungesema heavy industrial na small industrial vijengwe kwa wingi kusadia uchumi.
  4. Shangani

    Bati za Sundar ni bora? Kwa wenye uzoefu tafadhali

    Bati zote zinatoka China.... Wanashindana kwenye finishing ya rangi... Kama una mashaka fika TBS watakuwa na majibu
  5. Shangani

    Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Huu wizi wa Tv kuisha ni very simple to deal na wanunuzi wa hizi TV za wizi. Basi wizi utaisha fasta.
  6. Shangani

    Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Mpaka Leo ni mwezi bado kimya au kuna mwenye update yoyote
  7. Shangani

    Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha maloba(magunia) kwa hapa Dar

    Kwenye Kota za Urafiki pembeni ya kiwanja cha kinesi
  8. Shangani

    JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Ushauri wangu kwake ajaribu kwenda sehemu zenye migodi midogo mfano Ruangwa, Nachingwea, Liwale au Chunya. Atafute wamiliki wa migodi
  9. Shangani

    Flagship Soundbars

    Tujuze na wengine.
  10. Shangani

    MSAADA: Namna ya kufungua kesi inayohusu utapeli uliotokana na Biashara

    Tafuta wakili akusaidie, Kwanza hakikisha unapata taarifa zote muhimu za kampuni na wamiliki wake pamoja na mali zao. NB: Wakili ni muhimu Sana, atakuelekeza cha kufanya hata kama hautapenda akuwakilishe Mahakamani.
Back
Top Bottom