Recent content by Shanas

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    Kiarabu kinaweza kuwa ngumu kwako kueleweka, labda nikueleweshe kupitia kifaransa, neno "Vous" linapotumika huwa na maana ya wewe (umoja) au ninyi, lkn kwenye umoja si kwamba linatumika kwa kila mtu, la hasha. Ikiwa mtu unamheshimu, utatumia " Vous " yaani wewe ninayekuheshimu yaani mtu mwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    Hili tamko la Injili hasa ya Yohana umelitoa wapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    Kabla ya kunakili nafikiri afanye tafiti kidogo ili angalau awe na uwezo wa kutetea kile alichokiandika
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

    Jifunze French na Arabic language hutakuja kuuliza tena swali kama hilo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Kama ana ubavu akawatwange Hizboullah kule Lebanon kwanza kabla ya kwenda Iran
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Wakawaida sana huyu labda humjui vzr
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Kwani wavaao rosary kule Palestine unadhani kichapo hakitawahusu?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Kuhusu Iran nafikir pia udurusu upya af uje kunena ila kwa sasa kama utafuta comment yako nafikir heshima yako utakua umeilinda
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Nafikir unahitaji muda kidogo wa kujifunza siasa zao kabla ya kunena.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na Tecno, watumiaji wa Infinix nawaomba hapa niwaulize vitu.

    Mzee natumia oppo f 5 ,haina shida yyt, ukinunua hautajutia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni ya kusafirisha mizigo

    Mwenye kampuni ya kutuma cargo kutokea Dubai /Oman ajitokeze tafadhali mteja nimepatikana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

    Kwa mwenye kuhitaji Oppo Og anione inbox, simu nzuri sana hizo. Natumia F5 nimeikubali
Back
Top Bottom