Tumsamehe tu mgombea aliteleza, ulimi hauna mfupa. Ushauri Kwa tume na vyombo vinavyosimamia uchaguzi, Mshindi halali na atangazwe ili watanzania waionyeshe Dunia ukomavu wa kisiasa.
Siamini siasa za kutuhumiana. haziwajengi watanzania kuwa wa moja. Dola ipo na inaacha tuhuma za Richmond kuwa ndio agenda. Tunasahaulishwa na madudu ya ESCROW, EPA na mengi. Waseme hoja sio historia ya kuonyeshana vidole Kwa maslahi binafsi.
Watuhumiwa wote wa ufisadi wapelekwe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.