GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,615
- 128,006
Lowassa ni Chaguo la watanzania wote
Hasa Walio Wapumbavu Na Malofa.
Lowassa ni Chaguo la watanzania wote
[/QUOTE][Ninapenda kampeni za kistaarabu wanazofanya UKAWA wakijikita kwenye hoja. Kampeni za ccm zimejikita kwenye mambo haya:
1.kumtukana Lowassa
2.kumtukana Sumaye
3.Mipasho
4. Kutukana UKAWA
5. Barabara.
Hizi ni dalili wazi kwamba wameishiwa, wanatapatapa, wwanawayawaya.
Toeni hoja za msingi kama UKAWA.QUOTE=Reucherau;13921068]View attachment 284765
Lowassa anashinda uchaguzi. Magufuli hana nyota ya kumshinda lowassa
Ni Jibu au Makombora Yamemuelemea Na Sasa Anapumulia Tu Mashine? Acheni Kuvunga! Na Hili La Kuomba Kura Kwake KANISANI Kwa WALUTHERI Ndilo PIGO TAKATIFU Ambalo LINAKWENDA KUMMALIZA Lowassa KISIASA. Kwa Kukusaidia Tu Waumini Wa KATOLIKI Nchini Ni 45% Ya Wapiga Kura Wote Achilia Mbali Ndugu Zetu Na Wapendwa Wetu WAISLAMU Ambao Na Wao Ni 40% Ya Wapiga Kura Nchi Nzima. Wakatoliki Sasa TUNAJIPANGA Kumpa Kura Zetu Zote Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Mfano Mimi Binafsi Ni MKATOLIKI Na NILIPANGA Nimpigie Kura Yangu Lowassa ILA Kwa UPOPOMA Wake Huu Wa UDINI Simpi Tena Kura Yangu Na Nitawahamasisha WAKATOLIKI Wenzangu Wote Tanzania Kuwa Hakuna Kumpa Kura Lowassa Na Tuzielekeze Kwa Dr. Magufuli Na Sina Hata Wasiwasi Kuwa Hata WAISLAMU Watampigia Kura Rais Mtarajiwa Dr. John Magufuli.
Kukaa kimya ni hekima kutoka kwa mungu
..we kenge ni msemaji wa wakatoliki wa wapi? na hizo percentage hiyo research uliifanyia wapi?
Pamoja na ukatoliki wangu,kura yangu na familia yangu zote kwa lowassa. Then mkatafute single nyingine hii imeshachuja...
Hasa Walio Wapumbavu Na Malofa.
Hii yako ni kauli ya bahati mbaya - irresponsible statement - Mkatoliki hawezi kusema haya!Ni Jibu au Makombora Yamemuelemea Na Sasa Anapumulia Tu Mashine? Acheni Kuvunga! Na Hili La Kuomba Kura Kwake KANISANI Kwa WALUTHERI Ndilo PIGO TAKATIFU Ambalo LINAKWENDA KUMMALIZA Lowassa KISIASA. Kwa Kukusaidia Tu Waumini Wa KATOLIKI Nchini Ni 45% Ya Wapiga Kura Wote Achilia Mbali Ndugu Zetu Na Wapendwa Wetu WAISLAMU Ambao Na Wao Ni 40% Ya Wapiga Kura Nchi Nzima. Wakatoliki Sasa TUNAJIPANGA Kumpa Kura Zetu Zote Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Mfano Mimi Binafsi Ni MKATOLIKI Na NILIPANGA Nimpigie Kura Yangu Lowassa ILA Kwa UPOPOMA Wake Huu Wa UDINI Simpi Tena Kura Yangu Na Nitawahamasisha WAKATOLIKI Wenzangu Wote Tanzania Kuwa Hakuna Kumpa Kura Lowassa Na Tuzielekeze Kwa Dr. Magufuli Na Sina Hata Wasiwasi Kuwa Hata WAISLAMU Watampigia Kura Rais Mtarajiwa Dr. John Magufuli.